Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

Naomba ushauri; Nipo kwenye dimbwi la mawazo baada ya kutembea na mwathirika wa UKIMWI

Situmii arv mie na sijawahi kutumia and if u ask me hapa duniani kama kuna best decision i ever made that is hands down the best decision.
Hii mpya aisee mbona wanasema hizo to zinaongeza life span na zinapunguza magonjwa nyemelezi kama ya ngozi nk how is that a best decision to u?!?!?
 
Usiwe na hofu kwanza nasikia dawa za saiv sio chungu ni tamu tamu
 
Hii mpya aisee mbona wanasema hizo to zinaongeza life span na zinapunguza magonjwa nyemelezi kama ya ngozi nk how is that a best decision to u?!?!?
Mie nilipewa huo ushauri na jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi katika centre for aids research in africa. Sasa kama mtaalam wa research kanishauri hivyo na nikaona argument zake zinamashiko i dnt know for others.
 
Back
Top Bottom