Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Hao walimu na chuo ulichokuwa unasomea hiyo ulivyo maliza wao awajui ni programmeing gani ? Vyuo vya tanzania vina walimu wapumbavu sana very very stupid...hata wao walimu wa hivyo vyuo awajui IT japo wanaifundisha .Wataalamu wa computer nimepata wakati mgumu nilipo taka kujifunza programming language kwaajili ya kutengeneza android+iOS app, desktop app, games na website nilishauriwa nianze na C programming kwa Sasa nimemaliza ila napata wakati mgumu kwani language zipo nyingi na ambayo ni the best sijaifahamu.
Wataalamu ningeomba ushauri kwenu mnisaidie ni language gani nisome?
Lakini pia nimeanza Kotlin nipo kwenye loops kwa Sasa.
Sema iyo kitu ikutokeThis journey is crazy! kila kukicha mambo yanabadirika. Ni hivi miaka 5 ijayo kila mtu atakuwa programmer. Yaani atahitaji kujua kingereza tu. Kamsikilize jensen huang meneja wa NVIDIA unaweza acha kusumbua kuchwa
Chuoni nimejifunza C++ kama introduction to programming baadae Java lakini wanafundisha nusunusu sanaHao walimu na chuo ulichokuwa unasomea hiyo ulivyo maliza wao awajui ni programmeing gani ? Vyuo vya tanzania vina walimu wapumbavu sana very very stupid...hata wao walimu wa hivyo vyuo awajui IT japo wanaifundisha .
Ila mzee nadhani AI haiwezi kutengeneza app yenye kila kitu haiwezi pia kulink server side + database kwahiyo AI haitafanya kila kitu bali itasaidia kusolve errors kwenye code ambazo programmer anatengenezaHii field kila kukicha inabadirika, yaani ina ukichaa flani. Tukitoka kwenye ma AI si mda itakuja quantum computer.Nayo italeta upepo mwingine.
Kama mvivu acha tu.kama ni bookworm endelea. Kama unapenda komaa na python ili ujue kuziamrsha AI uunde unavyovitaka.
Tanzania hakuna walimu wala wanafunzi wanao mudu hayo masomo maana yapo kilogic na watanzania bongo zao hazipo logicChuoni nimejifunza C++ kama introduction to programming baadae Java lakini wanafundisha nusunusu sana
Tanzania hakuna walimu wala wanafunzi wanso mudu hayo masomo maana yapo kilogic na watanzan8a bongo zao hazipo logic
Kabisa mkuuTanzania hakuna walimu wala wanafunzi wanso mudu hayo masomo maana yapo kilogic na watanzan8a bongo zao hazipo logic
Nimesema kamsikilize JensenHuang,Elon musk, Jeff bezos na gwiji wengine, wabongo mbona tunabishia wanaoshape teknolojia. Mie nimemaliza kukushauri. We unadhani AI ni chat gpt tu. Hao watu wanaenda ibadili dunia inavyotakiwa ifanye kazi. Sasa kazi kwako kuendana nso au kubaki kizamani.Ila mzee nadhani AI haiwezi kutengeneza app yenye kila kitu haiwezi pia kulink server side + database kwahiyo AI haitafanya kila kitu bali itasaidia kusolve errors kwenye code ambazo programmer anatengeneza
Achana na hii kitu mzeeIla mzee nadhani AI haiwezi kutengeneza app yenye kila kitu
AI haiwezi kulink server side na clients side pia haiwezi kuhangaika na ma APIs hayo ,databases, debugging na hardware kwahiyo programmers watakuwepo milele pia innovation za tech startups zitahitaji programmers sio kutengeneza tu software but also hata embedded systems na automated machine zinahitaji programmers hasa kama mtu kasoma C/C++Achana na hii kitu mzee
Nimewaambia someni prompty engineering. App kufanya kila kiitu ni wewe tu anavyo unda prompt. Halafu AI za bure zina limitation.
Niambie ni kitu gani AI haiwezi unda kwenye App halafu tuaanze kujenga hicho kitu kwa AI.
Sisi tanzania badala ya kuwekeza nguvu kubwa kujifunza programming tunatakiwa tuwekeze nguvu kubwa kujua AI inavyoweza kukupa matokeo unayoyataka.
Jifunze programming ila usi ibeze AI. Ulaya tayari IT washa anza kulia demand yao isha shushwa na AI.
As 2024 most demanded jobs zilikuwa za watu wa softwareAchana na hii kitu mzee
Nimewaambia someni prompty engineering. App kufanya kila kiitu ni wewe tu anavyo unda prompt. Halafu AI za bure zina limitation.
Niambie ni kitu gani AI haiwezi unda kwenye App halafu tuaanze kujenga hicho kitu kwa AI.
Sisi tanzania badala ya kuwekeza nguvu kubwa kujifunza programming tunatakiwa tuwekeze nguvu kubwa kujua AI inavyoweza kukupa matokeo unayoyataka.
Jifunze programming ila usi ibeze AI. Ulaya tayari IT washa anza kulia demand yao isha shushwa na AI.
Wenzio wako maabara kuhitimisha hayo yote. Wewe na mimi tupo JF kujadili.AI haiwezi kulink server side na clients side pia haiwezi kuhangaika na ma APIs hayo ,databases, debugging na hardware kwahiyo programmers watakuwepo milele pia innovation za tech startups zitahitaji programmers sio kutengeneza tu software but also hata embedded systems na automated machine zinahitaji programmers hasa kama mtu kasoma C/C++
Ni kweli AI ni muhimu but it can't replace everythingWenzio wako maabara kuhitimisha hayo yote. Wewe na mimi tupo JF kujadili.
Wako kuunda quantum chip, AI chip nk unafikiri mambo yatabaki yalivyo ?
AI zimezinduliwa rasm mwaka jana ona ndani ya muda mfupi ilivyo badil hali.
Muwe mnasoma na trend za technolojia msije mkawa mnajidanganya kumbe ulimwengu upo kwingine.