Naomba ushauri nisome programming language gani?

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Wataalamu wa computer nimepata wakati mgumu nilipo taka kujifunza programming language kwaajili ya kutengeneza android+iOS app, desktop app, games na website nilishauriwa nianze na C programming .

Kwa Sasa nimemaliza ila napata wakati mgumu kwani language zipo nyingi na ambayo ni the best sijaifahamu.

Wataalamu ningeomba ushauri kwenu mnisaidie ni language gani nisome?

Lakini pia nimeanza Kotlin nipo kwenye loops kwa Sasa.
 
This journey is crazy! kila kukicha mambo yanabadirika. Ni hivi miaka 5 ijayo kila mtu atakuwa programmer. Yaani atahitaji kujua kingereza tu. Kamsikilize jensen huang meneja wa NVIDIA unaweza acha kusumbua kuchwa
 
So invest in learning prompt engineering.
Kilq kitu kitafanywa na AI si miaka mingi.Jifunze kuliamrisha likutumikie, hilo dude ni game changer.
Mimi mawazo yangu watu wajifunze kudesign software na kuzitumia compiler vizuri upande wa code tutaingoza AI itufanyie. N sawa na fundi au injinia ajifunze kuchonga vitu wakati kuna cnc mashine, kuna printa.Fundi ajikite kujua cnc , ajikite kwenye designing, kujua software zake.
Kwa sababu AI ndio kila kitu jifinze basi Python na ambato zake.
 
Hii field kila kukicha inabadirika, yaani ina ukichaa flani. Tukitoka kwenye ma AI si mda itakuja quantum computer.Nayo italeta upepo mwingine.
Kama mvivu acha tu.kama ni bookworm endelea. Kama unapenda komaa na python ili ujue kuziamrsha AI uunde unavyovitaka.
 
Wataalamu wa computer nimepata wakati mgumu nilipo taka kujifunza programming language kwaajili ya kutengeneza android+iOS app, desktop app, games na website nilishauriwa nianze na C programming kwa Sasa nimemaliza ila napata wakati mgumu kwani language zipo nyingi na ambayo ni the best sijaifahamu.
Wataalamu ningeomba ushauri kwenu mnisaidie ni language gani nisome?
Lakini pia nimeanza Kotlin nipo kwenye loops kwa Sasa.
Hao walimu na chuo ulichokuwa unasomea hiyo ulivyo maliza wao awajui ni programmeing gani ? Vyuo vya tanzania vina walimu wapumbavu sana very very stupid...hata wao walimu wa hivyo vyuo awajui IT japo wanaifundisha .
 
This journey is crazy! kila kukicha mambo yanabadirika. Ni hivi miaka 5 ijayo kila mtu atakuwa programmer. Yaani atahitaji kujua kingereza tu. Kamsikilize jensen huang meneja wa NVIDIA unaweza acha kusumbua kuchwa
Sema iyo kitu ikutoke
 
Hao walimu na chuo ulichokuwa unasomea hiyo ulivyo maliza wao awajui ni programmeing gani ? Vyuo vya tanzania vina walimu wapumbavu sana very very stupid...hata wao walimu wa hivyo vyuo awajui IT japo wanaifundisha .
Chuoni nimejifunza C++ kama introduction to programming baadae Java lakini wanafundisha nusunusu sana
 
Hii field kila kukicha inabadirika, yaani ina ukichaa flani. Tukitoka kwenye ma AI si mda itakuja quantum computer.Nayo italeta upepo mwingine.
Kama mvivu acha tu.kama ni bookworm endelea. Kama unapenda komaa na python ili ujue kuziamrsha AI uunde unavyovitaka.
Ila mzee nadhani AI haiwezi kutengeneza app yenye kila kitu haiwezi pia kulink server side + database kwahiyo AI haitafanya kila kitu bali itasaidia kusolve errors kwenye code ambazo programmer anatengeneza
 
Nimesema kamsikilize JensenHuang,Elon musk, Jeff bezos na gwiji wengine, wabongo mbona tunabishia wanaoshape teknolojia. Mie nimemaliza kukushauri. We unadhani AI ni chat gpt tu. Hao watu wanaenda ibadili dunia inavyotakiwa ifanye kazi. Sasa kazi kwako kuendana nso au kubaki kizamani.
Industrial 4.5 kila kitu kitakuwa automated.
 
Ila mzee nadhani AI haiwezi kutengeneza app yenye kila kitu
Achana na hii kitu mzee
Nimewaambia someni prompty engineering. App kufanya kila kiitu ni wewe tu anavyo unda prompt. Halafu AI za bure zina limitation.
Niambie ni kitu gani AI haiwezi unda kwenye App halafu tuaanze kujenga hicho kitu kwa AI.
Sisi tanzania badala ya kuwekeza nguvu kubwa kujifunza programming tunatakiwa tuwekeze nguvu kubwa kujua AI inavyoweza kukupa matokeo unayoyataka.
Jifunze programming ila usi ibeze AI. Ulaya tayari IT washa anza kulia demand yao isha shushwa na AI.
 
Lakini Mimi nimeuliza AI itahost website au itapandisha app playstore?
AI itajiadvertise programmers will always be there forever those are just theories eti itamreplace programmer by what fact

AI can't build up a decentralized system or even apps like Dapps just tunaishi katika theory ambazo we just say without fact
 
Achana na hii kitu mzee
Nimewaambia someni prompty engineering. App kufanya kila kiitu ni wewe tu anavyo unda prompt. Halafu AI za bure zina limitation.
Niambie ni kitu gani AI haiwezi unda kwenye App halafu tuaanze kujenga hicho kitu kwa AI.
Sisi tanzania badala ya kuwekeza nguvu kubwa kujifunza programming tunatakiwa tuwekeze nguvu kubwa kujua AI inavyoweza kukupa matokeo unayoyataka.
Jifunze programming ila usi ibeze AI. Ulaya tayari IT washa anza kulia demand yao isha shushwa na AI.
AI haiwezi kulink server side na clients side pia haiwezi kuhangaika na ma APIs hayo ,databases, debugging na hardware kwahiyo programmers watakuwepo milele pia innovation za tech startups zitahitaji programmers sio kutengeneza tu software but also hata embedded systems na automated machine zinahitaji programmers hasa kama mtu kasoma C/C++
 
As 2024 most demanded jobs zilikuwa za watu wa software
 
AI haiwezi kulink server side na clients side pia haiwezi kuhangaika na ma APIs hayo ,databases, debugging na hardware kwahiyo programmers watakuwepo milele pia innovation za tech startups zitahitaji programmers sio kutengeneza tu software but also hata embedded systems na automated machine zinahitaji programmers hasa kama mtu kasoma C/C++
Wenzio wako maabara kuhitimisha hayo yote. Wewe na mimi tupo JF kujadili.
Wako kuunda quantum chip, AI chip nk unafikiri mambo yatabaki yalivyo ?
AI zimezinduliwa rasm mwaka jana ona ndani ya muda mfupi ilivyo badil hali.
Muwe mnasoma na trend za technolojia msije mkawa mnajidanganya kumbe ulimwengu upo kwingine.
 
Ni kweli AI ni muhimu but it can't replace everything
 
Mimi nahisi AI kuwa advanced basi na Watalaamu wanatakiwa kuwa wengi hasa wenye uelewa zaidi ili kuzimanage, Ofcoz AI zitafanya mapinduzi makubwa lakini kwetu sisi ni fursa pia. As uwe mbunifu tu etc
 
Back
Top Bottom