Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Wataalamu wa computer nimepata wakati mgumu nilipo taka kujifunza programming language kwaajili ya kutengeneza android+iOS app, desktop app, games na website nilishauriwa nianze na C programming .
Kwa Sasa nimemaliza ila napata wakati mgumu kwani language zipo nyingi na ambayo ni the best sijaifahamu.
Wataalamu ningeomba ushauri kwenu mnisaidie ni language gani nisome?
Lakini pia nimeanza Kotlin nipo kwenye loops kwa Sasa.