Naomba ushauri nisome programming language gani?

Mimi nahisi AI kuwa advanced basi na Watalaamu wanatakiwa kuwa wengi hasa wenye uelewa zaidi ili kuzimanage, Ofcoz AI zitafanya mapinduzi makubwa lakini kwetu sisi ni fursa pia. As uwe mbunifu tu etc
pyhton haikwepeki mzee, hakuna zaidi ya hiyo kwa eneo hili, Java ni takataka siku chache zijazo
 
Matumizi ya java sijui, ila kuna lugha ni muhimu sana hata teknolojia ikueje, py, c++, JS, PHP, etc.

AI zitakuwepo lakini web technology haitakufa na zitaembed na Hizo AI widely
 
Mtu kusema AI can't replace human being ni kushindana na kimbunga. AI inapunguza demand ya wataalamu na inafanya mambo mengi kwa sekunde chache kitu ambacho ungepambana miezi kadhaa AI itakuongoza kufanya kwa siku moja au masaa kadhaa kuendena na ujuzi wako wa kuweza kuicommand.
AI imebadili Kila field kuanzia chemical engineering, health, botany, academic, content writing, everything.....

Tukisema AI hatumaanishi chat GPT zipo more specialized AI system Japan ina AI named sakana, sakana means fish 🐠 in Japanese language zina design and provide procedure and alternative. AI imebadili namna ya kupigana vita na ....

Software engineering value imeshuka itaendelea kushuka. Ni kama kusema machine na maroboti hayana madhara kwenye swala la ajira sababu hazifanyi Kila kitu?????????????? Hazifanyi Kila kitu lakini zina impact kubwa badala ya kuhitaji watu 500 unahitaji machine na operator 6 wanaofanya kazi kwa shift!!!!!!

Thank you very much to AI imeniokolea pesa, muda na kunifanya niiishi mbele ya muda, ukiweza kujua namna ya kutumia AI katika maisha yako ya Kila suku utaongea kwa code tofauti utaona dunia sio tu ni kama Kijiji bali kitufe kidogo sana kama mpira wa tenesi🎾
 
Huu ni ukweli,

Lakini kwasababu binadamu hashindwi, kuna namna itawepo tu
 
Mimi nahisi AI kuwa advanced basi na Watalaamu wanatakiwa kuwa wengi hasa wenye uelewa zaidi ili kuzimanage, Ofcoz AI zitafanya mapinduzi makubwa lakini kwetu sisi ni fursa pia. As uwe mbunifu tu etc
Kabisa mkuu na ndio maana tunamwambia software developers watabaki kuwa palepale kwaajili ya kuziendesha na kusimamia AI
 
Mimi nilianza na C, nikawa natengeneza console applications, nikahamia C++, nikaanza kutengeneza GUI desktop application. Kipindi hicho nikajifunza Database technologies sana sana SQL database.Kisha nikaja kwenye web technologies nikajifunza PHP, HTML, CSS na JavaScript. 11+ years later, nimejifunza technologies nyingi sana kama Java, Android app development, Nodejs, Firebase, Angular,React, Networking,yii2,Qt , Flutter nk
 
JavaScript nayo Naona inajitahidi na inapewa kipaumbele sana
 
Mimi nilianza na C, nikawa natengeneza console applications, nikahamia C++, nikaanza kutengeneza GUI desktop application. Kipindi hicho nikajifunza Database technologies sana sana SQL database.Kisha nikaja kwenye web technologies nikajifunza PHP, HTML, CSS na JavaScript. 11+ years later, nimejifunza technologies nyingi sana kama Java, Android app development, Nodejs, Firebase, Angular,React, Networking,yii2,Qt , Flutter nk
😲😲😲 Mkuu umesoma vitu vyote hivyo umetoa wapi muda?
Sasa hivi vichwa tulivyojaza cabbage, lisu na mbowe looh ni shida tupu
 
This journey is crazy! kila kukicha mambo yanabadirika. Ni hivi miaka 5 ijayo kila mtu atakuwa programmer. Yaani atahitaji kujua kingereza tu. Kamsikilize jensen huang meneja wa NVIDIA unaweza acha kusumbua kuchwa
Juzi nime andika strategy moja nikaitaka chatai moja inipe code aisee imenipa ndani ya dk 1 tu kwa sasa nafanya refinement zaidi ili iwe strategy effective and efficient vile nataka ije ifanye kazi.Kwa ujio wa hizi ChatAI,kwa kweli moja ya kitu unapaswa kujufunza sana ni Prompt Engineering regardless upo field gani,ni bonge moja la dili.Mfano Mimi binafsi nataka tu, nifanye certificate ya accounting tu then nikishapata mwanga mzuri basi nitaweza kufanya hata kazi za auditing kwa usaidizi wa prompt engineering tu.
 
Umesanuka. Watu bado hawajaielewa hii teknolojia. It is a game changer. Vyuo vikuu. Wozara ya elimu wasipo badili mitaala yao iendane na AI watapitwa na wakati. Wanafunzi wanaojua AI watakuwa wanawaona walimu wapo kizamani.
Dhana ya wasomi ishapitwa na wakati
Anachokifanya msomi mtu wa kawaida nae anaweza via AI.
 
😲😲😲 Mkuu umesoma vitu vyote hivyo umetoa wapi muda?
Sasa hivi vichwa tulivyojaza cabbage, lisu na mbowe looh ni shida tupu
Amesema hapo 11 years. Labda mi ningemuuliza ameweza kuunda kitu gani cha msaada. Maana huyo ni monster wa Programming.
 
AI haiwezi kulink server side na clients side pia haiwezi kuhangaika na ma APIs hayo ,databases, debugging na hardware kwahiyo programmers watakuwepo milele pia innovation za tech startups zitahitaji programmers sio kutengeneza tu software but also hata embedded systems na automated machine zinahitaji programmers hasa kama mtu kasoma C/C++
....
 
Ila mzee nadhani AI haiwezi kutengeneza app yenye kila kitu haiwezi pia kulink server side + database kwahiyo AI haitafanya kila kitu bali itasaidia kusolve errors kwenye code ambazo programmer anatengeneza
Google general AI inauwezo wa kutengeneza software na kuipublish kwenye internet...
 
But debugging haiwezi kufanya pia kuadd more features GAI haiwezi kufanya purchase ya vitu kama hosting, domain and much more so we need knowledge on this bro
 
Kweli...but kusema debugging haiwezi unakosea AI inaweza kufanya debugging (kutafuta na kurekebisha makosa katika program) inachambua makosa na kupendekeza marekebisho...
 
Back
Top Bottom