😂😂😂 Ndiyo mkuu,hii ni ya ZanzibarImefungiwa? Hiii natumia hapa sio yenyewe?.
Hii sio yenyewe 😀Imefungiwa? Hiii natumia hapa sio yenyewe?.
Upo serious sana kama mbwa wako.
Wanajiongezea tu kuchukiwa. Huu moto hauzimi kishkaji ivo.
Kwani hapa unapiga wapi hizi stori?Ahaha. Yan . Naumia sjui ntakua napigia wapi story za kizalendo na kiuanaharakat.