Naomba ushauri nitawezaje kuendelea kutumia JF hata baada ya kufungiwa, maana siwezi ishi bila JF

Naomba ushauri nitawezaje kuendelea kutumia JF hata baada ya kufungiwa, maana siwezi ishi bila JF

kama utani.....
Japo najua after days watu woote watkua washaaqta akili ya VPN na TOR.
Yeah,na bundle la kushiba...mi nitaingia kilamwisho wa mwezi humu...nikipata mshahara nimo....zikiisha sionekani🥴
 
Kwangu sana,sijui ni VPN ya uyole hii 😓

Hhahaha. Sawa.
Me nilikua nayo VPN ya NSALAGA.
iligoma kufanyakazi.

Saiv natumia mtandao wa hapa karib na ZMB
 
😂😂😂 Ngoja nijaribu ya Isyonje mkuu, asante

Nimecheka hadi nimekaa chini ...na machozi yamenitoka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ngoja tuishie hapo mkuu.
Tusije tukajikuta tumetelekezwa mmoja NDANGANO mwingine NZONGWI JUU.
 
Nimecheka hadi nimekaa chini ...na machozi yamenitoka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ngoja tuishie hapo mkuu.
Tusije tukajikuta tumetelekezwa mmoja NDANGANO mwingine NZONGWI JUU.
😂😂😂😂 Haya asante sana mkuu 🙏
 
Back
Top Bottom