Alfu Lela U lela
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 319
- 542
Mimi naingia kwa kutumia browser ya Opera haina haja ya kutumia Vpn!
Muhimu futa namba za Ndugu,rafiki na jamaa wote ambao ni CCMSalaam,
Twende kwenye mada.
Je, nikitumia TOR ntatoboa ?
Edit: sijajua ni sim yang au vipi, ila JF haikubar kulog in tayari, mpaka niingie kwakutumia TOR.
Niongeza nyingine ni hii inaitwa hide me vpn nayo ni kiboko sanaNinayo kitamboo sana, si ulinisanua siku ile umesahau.
Ndo niliyoingia nayo mwanzo hapa, hadi nkaona msanuo wa huo TOR.
yaan wee Vin unajua visaidizi had so poaa.
😂😂😂😂😂 usisite kunisanua vinginee.
Kweli mkuuWanakaanga soda tu.
Huku mbona inapatikana? Niko hapa Isongole, network ni ya MalawiImefungiwa,bila VPN hutoboi mkuu
Kila la heriAh, sawa nimekusoma.
Mimi nipo hapa kati flan.
Mchana tumepita hapo ... waisa wametubebsha Michele flan. tukapitia na maziwa mitaa flan. now tupo zetu hapa karibu na ZMB.
Kikinuka tunaingia NDOLA.
Ingia playstore ownload VPN connect piga mzigoSalaam,
Twende kwenye mada.
Je, nikitumia TOR ntatoboa ?
Edit: sijajua ni sim yang au vipi, ila JF haikubar kulog in tayari, mpaka niingie kwakutumia TOR.
Haya poa mkuuHuku mbona inapatikana? Niko hapa Isongole, network ni ya Malawi
kiongozi wenu kwenye nini?Kaka wewe kiongozi wetu .. share location yako ... tupe na namba yako ya sim ulosajir kwa nida yako.
Soma highlight fbSalaam,
Twende kwenye mada.
Je, nikitumia TOR ntatoboa ?
Edit: sijajua ni sim yang au vipi, ila JF haikubar kulog in tayari, mpaka niingie kwakutumia TOR.