Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Ni browser strong sana inakuja ikiwa built-in na vpn yakeTOR ni app kama VPN?
Ni browser strong sana inakuja ikiwa built-in na vpn yakeTOR ni app kama VPN?
Sawa mkuu ngoja nijaribuNi browser.. ipakue from appstore.
Nibrahisi kuitumia kushinda VPN
So nikipakua hii sina haja kuwa na VPN kwenye simu?Ni browser strong sana inakuja ikiwa built-in na vpn yake
Exactly 💯 mkuu sema ni muhimu pia kwenye simu Yako kuwa na VPN maana Kuna app zingine uwezi ku access bila VPNSo nikipakua hii sina haja kuwa na VPN kwenye simu?
So nikipakua hii sina haja kuwa na VPN kwenye simu?
Humu hamna watu nusu ila watu kamili pekeekesho jitokezeni muandamane watoto wazuri sawaeee?
Nimekupata mkuu.ShukraniYani TOR haikuhitaji kuwashq VPN wala kuangalia matangazo.
Unatumia tu kaa Firefox au opera mini.
Ila yenyewe inakupa security ya ndani ya app husika pee ake , hivyo haigusi sehem nyingine yoyote ya sim yako.
Na pia vitu unavyoserch kwa TOR hakuna mtu anaweza akaviona as haitunzi taarifa yoyote wala haionyeshi location ya mtumiaji
Tumia VPN, Tuko Live kama kawa kama Dawa......Chivalo na nanihii wametuponzaephen_
TOR Ndio baba wa VPN. Yan inaingia hadi dark web huko.
So nkataka kujua ikiwa kama wanavosema wataifungia JF . Yan wanaenda kuzima server za jf pale ofisini au inakuaje.
Ila kwa majib ya wadau naona. Kama ntafeli kuipata jf kwa njia ya kawaida .. itanibifi niingie kupitia tor ...
Kule unapata kila kitu .. hata kama kimefungiwa kupenya nchini (ilimradi kipo kwenye servers au kwenye domain unakipata)
Siwez kueleza kwa weredi zaid sababu am not an IT guy.
Hilo siyo wazo.
Wazo zuri kaka.
Thanks.
wazo zuri kiongoziOfisi za JF zingehamishwa TZ.
Zifanyekazi kwa sheria za nchi zilizoendelea kidemokrasia.
Tumia VPN, Tuko Live kama kawa kama Dawa......Chivalo na nanihii wametuponza
Kwanini Tor na sii kisaidizi kingine chochote?Sijakuelewa mkuu unacholenga kukisikia hasa ni nini ?