πππ Ndiyo mkuu,hii ni ya ZanzibarImefungiwa? Hiii natumia hapa sio yenyewe?.
Hii sio yenyewe πImefungiwa? Hiii natumia hapa sio yenyewe?.
Upo serious sana kama mbwa wako.
Wanajiongezea tu kuchukiwa. Huu moto hauzimi kishkaji ivo.
Kwani hapa unapiga wapi hizi stori?Ahaha. Yan . Naumia sjui ntakua napigia wapi story za kizalendo na kiuanaharakat.