Naomba ushauri nitawezaje kuendelea kutumia JF hata baada ya kufungiwa, maana siwezi ishi bila JF

Kajiunga JF April 12, 2025

Halafu leo anasema hawezi kuishi bila JF miaka yote hiyo alikuwa anaishije?

ID yang ya mwanzo ilijulikana na watu wa ofisi moja na wakasoma post zang kadhaa (though now sipo kwenye taasisi husika now)
Niliomba moderators wanisaidie kufuta nyuzi za nyuuma kisha nibadiri jina hawakunishughurikia on time kiongozi.
Wanapokuja kunijib ujumbe tayari nilisha kita mizizi na kuizoea ID yang mpya.

Maxence Melo wenyewe alini PM akiomba radhi kwakuchelewa kuuona ujumbe wangu ... nilijiskia faraja kwakunirudia though it was too late ....
(Ila yupo gud)

Xi Jinping
Mbaga Jr
 

Attachments

  • Screenshot_20250906_184105.jpg
    10 KB · Views: 18
Salaam,
Twende kwenye mada.
Je, nikitumia TOR ntatoboa ?
Nenda pale karibu na Jengo lao inashika vizuri sana.

Mimi nimejaribu kukaa pale aisee iko speed balaa
 
Kama imefungwa mbona tupo hapa?

Si wanafunga kimtandao?au wanafunga fungaje,ni kusema mwenye nyonyoro hajafika humu au?
 
Kama imefungwa mbona tupo hapa?

Si wanafunga kimtandao?au wanafunga fungaje,ni kusema mwenye nyonyoro hajafika humu au?


Tiar huku ipo chini mzee, hapa nimeingia kwakutumia TOR
 
TOR ni app kama VPN?
 
U
Salaam,
Twende kwenye mada.
Je, nikitumia TOR ntatoboa ?

Edit: sijajua ni sim yang au vipi, ila JF haikubar kulog in tayari, mpaka niingie kwakutumia TOR.
Unatakiwa uwekewe ubongo ili unaaandika mambo ya muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…