Naomba ushauri nitawezaje kuendelea kutumia JF hata baada ya kufungiwa, maana siwezi ishi bila JF

Yani TOR haikuhitaji kuwashq VPN wala kuangalia matangazo.
Unatumia tu kaa Firefox au opera mini.
Ila yenyewe inakupa security ya ndani ya app husika pee ake , hivyo haigusi sehem nyingine yoyote ya sim yako.

Na pia vitu unavyoserch kwa TOR hakuna mtu anaweza akaviona as haitunzi taarifa yoyote wala haionyeshi location ya mtumiaji
So nikipakua hii sina haja kuwa na VPN kwenye simu?
 
Nimekupata mkuu.Shukrani
 
Tumia VPN, Tuko Live kama kawa kama Dawa......Chivalo na nanihii wametuponza
 
Tumia VPN, Tuko Live kama kawa kama Dawa......Chivalo na nanihii wametuponza

Unatumia VPN gan mkuu ??

Niiweke kwa dharula. maaq hapa mimi natumia TOR.
kuhusu VPN nimeshindwa kuchagua ambayo ipo makini .. since nlokua natumia mda mref hapo nyuma ilipogoma kufanya kazi.
 
Kwanini Tor na sii kisaidizi kingine chochote?

Maybe ujuzi na mazoea.

Kama kuna njia bora nyingine you tell me. ... JF ndo sehem ya kupeana ujuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…