Naomba ushauri nitawezaje kuendelea kutumia JF hata baada ya kufungiwa, maana siwezi ishi bila JF

Ongeza na 1.1.1.1 VPN
Ninayo kitamboo sana, si ulinisanua siku ile umesahau.
Ndo niliyoingia nayo mwanzo hapa, hadi nkaona msanuo wa huo TOR.

yaan wee Vin unajua visaidizi had so poaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usisite kunisanua vinginee.
 
kama utani.....
Japo najua after days watu woote watkua washaaqta akili ya VPN na TOR.
Yeah,na bundle la kushiba...mi nitaingia kilamwisho wa mwezi humu...nikipata mshahara nimo....zikiisha sionekaniπŸ₯΄
 
Kwangu sana,sijui ni VPN ya uyole hii πŸ˜“

Hhahaha. Sawa.
Me nilikua nayo VPN ya NSALAGA.
iligoma kufanyakazi.

Saiv natumia mtandao wa hapa karib na ZMB
 
Hhahaha. Sawa.
Me nilikua nayo VPN ya NSALAGA.
iligoma kufanyakazi.

Saiv natumia mtandao wa hapa karib na ZMB
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ngoja nijaribu ya Isyonje mkuu, asante
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ngoja nijaribu ya Isyonje mkuu, asante

Nimecheka hadi nimekaa chini ...na machozi yamenitoka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja tuishie hapo mkuu.
Tusije tukajikuta tumetelekezwa mmoja NDANGANO mwingine NZONGWI JUU.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Haya asante sana mkuu πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…