Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

Tafuta dem mwenye Ukimwi mtambulishe kwake..... Najua tu ataingia mkenge amtongoze kama kawaida yake, baad ya hapo we kazi yako inabaki moja tu kumkumbusha jamaa Siku zake za kufata ARV.
 
Ninae jamaa mmoja wa dizain hiyo huwa anapenda kila dem ninaetoka nae yan kma huyo alieelezewa hapo juu. Mahamba sana yule jamaa nataka nimpige tukio mojaa kummkee yulee. Anaona nacheka usoni kumbe kuna jambo nitamfanyie hatosahau
 
Huyo sasa ndiye rafiki wa kweli. Anakusaidia kuchuja pumba na mchele. Anakusaidia kuchagua wife material kwani in the real life, mwanamke yeyote hukutana na wanaume wengi watakaomtongoza. Shida iko wapi kama demu anakupenda? Demu kama anakupenda na ni mwaminifu hata akitongozwa hawezi kukubali. Sana sana atakuja kukuambia. Na akikubali basi piga chini huyo hakufai.
 
huyo sio rafiki ni adui,vunja urafiki nae na umpake sawasawa kwa kumuonesha ushahidi wote
 
Mkatae huyo sio rafiki, mwambie ukweli ajue upuuzi wake na umueleze kabisa kuwa hutaki ukaribu na urafiki tena kwa sababu hana adabu huyo fala.

Demu wako akizoeana na marafiki zako kama hana akili ataliwa tu, alafu inaonesha wewe ndio unaruhusu huo ukaribu inakuaje mpaka anafikia hatua ya kumiliki hadi namba yake ya simu?
 
Huyo jamaa yako sio tatizo ila wewe ndio tatizo inakuaje unaacha mianya anawajua mademu zako na mawasiliano anakuwa nayo? Jichunguze kwanza unapokosea na ubadilike vinginevyo utaendelea kuchapiwa mpaka akili ikukae sawa.
 
Huyo jamaa yako sio tatizo ila wewe ndio tatizo inakuaje unaacha mianya anawajua mademu zako na mawasiliano anakuwa nayo? Jichunguze kwanza unapokosea na ubadilike vinginevyo utaendelea kuchapiwa mpaka akili ikukae sawa.
Nakazia
 
Mie naomba kujua Mipaka aliyoweka baada ya demu wake wa kwanza kuliwa na rafiki yake ni ipi na ipi

Mipaka hiyo iliweka mazingira gani hadi rafiki yake anamiliki namba ya huyu demu mpya

Kama hakuna majibu basi uzi wote huu ni chai....yenye chumvi
Mimi pia imenifikirisha huenda si kweli
Yaani hi nanba ya rafiki inafikaje kwa watu wako (wife material) huwa ni mali binafsi sasa tuambie imekuaje hadi wanawasiliana au unamuachia simu yako?
 
Kwa wale wataalam wa psychology utagundua jamaa ana tone flani ya kutia huruma sana.... Huu unyonge watamtombeyer mpaka akili imkae sawa
 
Wewe nawe taburalasa tu! Huyo hana urafiki na wewe hata kidogo! Kama ana mke nenda umegongee atakuheshimu! Au mkuu alishakujua wewe huwafikishi kilele cha Kibo ndiyo maana anajichukulia mizigo?
 
Tongoza dada yake au ndugu yake yeyote wa kike, hakikisha unampata uone kama atatongoza na huyo.
Huyo sio rafiki kaambali nae tena sana

Lakini ata mim nina rafiki angu sometimes nashindwa kumwelewa hadi aasa lakn yete yupo upande wapesa kwasababu tulikua tume panga kusafiri nje ya nchi so hii fursa anaitumia kunila pesa sana me pia naomben ushauli niishi vip na huyu mtuπŸ™πŸ½
 
Tafuta tu pesa aisee, huyo achana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…