Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

mimi mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
248
Reaction score
539
Nataka kununua Simu.

Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung.

Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=.

Nazingatia zaidi good camera na muonekano.

Update

Niliongeza pesa kidogo nikachukua Samsung A 51, nimeipenda ni nzuri. Asanteni.
 
Sasa kama haina play store huwezi tumia?
Haina Google services kwahyo hautapata services nyingi kutoka Google. Kuanzia Google Maps, Youtube, Gmail, nk. Kumbuka pia hata apps zinazotegemea Play services hazita fanya kazi kwenye maeneo mengine. Sio option nzuri kwa wadau wengi wanaotegemea Google play services. Au ndo unataka kila app ambayo haikut kwnye app store ya Huawei aende ku download ma APK?
 
Fanya kutafuta samsung J7 prime finger print,4G, Charge fresh no betri heating camera nayo siyo mbaya nilinunua miaka miwili iliyopita kwa 450k kwa hiyo unaweza kuipata kwa bajeti yako
 
Fanya kutafuta samsung J7 prime finger print,4G, Charge fresh no betri heating camera nayo siyo mbaya nilinunua miaka miwili iliyopita kwa 450k kwa hiyo unaweza kuipata kwa bajeti yako

Simu ulionunua two years back ndo unamshauri mwenzako kwa sasa tena kwa bajet yote hiyo..🤔

Kuliko hiyo bora oppo au infinix atapata nzuri latest tena na chenchi kwanzia elf 90
 
Ipo hapa samsung on7 ipo mafutaa kila idara
 
Back
Top Bottom