supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
Mimi nilikuwa na budget ndogo ila nataka simu kubwa....kwa 350,000/= nilijipatia Lenovo K5 Pro mpya kwenye box... 4GB RAM na 64GB ROM. Nakiri kuwa sijawahi jutia kuinunua maana ina powerful processor na Camera kali sana, na nikitoka hapa nataka Lenovo ya 128GB kabisa....Nataka kununua Simu.
Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung.
Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=.
Nazingatia zaidi good camera na muonekano.