Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

Msaada na mm.na bajet ya lak 4 hadi 5 simu gani nzur yenye camera swafi na weza pata kwa huu mpunga Chief-Mkwawa
Kwa Samsung
A series
I suggest

A21s (64 gb)
Ram 4
Camera 48 mp
Battery 5000mAh
Price 460k

A30s (64 gb)

Ram 4 gb
Camera 25 mp
Battery 4000mAh
Price 500k

S series

Galaxy S8 (64 gb)

Ram 4 gb
Camera 12 mp
Battery 3000mAh
Price 500k

Kuna Infinix, Tecno na Oppo pia
 
Jamaa amezingua eti amezema labla anipe A51 kwa lak 5 sada swali kati ya A 51 na nokia 7.2 nichukue ip???
Camera zao zote ni 48mp
Battery ya A51 ni kubwa kwa 500mAh zaidi.
Na size pia A51 ni kubwa kidogo.
Pia A51 ina on screen fingerprints.
Lakini pia hata ukotaka kuuza A51 ni rahisi zaidi kwa kuuza hata exchange pia.
Lakini spare pia za A51 ni vast na ni cheap.
 
Kwa hyo kwa ushaur wako nichukue ipi hapo nduguuu????
 
Nataka kununua Simu.

Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung.

Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=.

Nazingatia zaidi good camera na muonekano.
Tafuta Xiaomi au Oppo hapa, hutojutia kamwe....
 
Infinix ni Tecno iliyochangamka

Kinachokuchanganya ni jina ndo tatizo

Unachek specs za simu unakuta zinashea chip processor na vitu kibao still unasema infinx haiingii labda kwa samsung flan unakuwa umetumia kigezo gani hapo au unaamin samsung ndo wanajua chomelea hivo vifaa vizuri kwenye saket yao🤔
 
ungeitaja hio inifinix tuangalie kama ni kweli
 
ungeitaja hio inifinix tuangalie kama ni kweli

Nikipitia makabrasha tena

Kuna simu moja pia oppo A1K na infinix flan nimeisahau model

Ndo mtu anasema siwezi tumia hiyo infinix ila ila ana oppo inayofanana specs kila kitu hadi processor , resolution , vitu almost vyote kasoro ni maumbo tu battery zote zimelamba 4000mah 🤔
 
Mimi nilikuwa na budget ndogo ila nataka simu kubwa....kwa 350,000/= nilijipatia Lenovo K5 Pro mpya kwenye box... 4GB RAM na 64GB ROM. Nakiri kuwa sijawahi jutia kuinunua maana ina powerful processor na Camera kali sana, na nikitoka hapa nataka Lenovo ya 128GB kabisa....
Mkuu lenovo zina pata update kutoka android moja kwenda ingine?
 
nimeicheki ni helio p22, ndio hii soc imetumika sana kwenye samsung, tecno, inifinix na wengine wengi, huwa mimi nairecomend kama unataka tu simu inayokaa na chaji ila perfomance yake si kubwa.

pia kuna hii infinix wamejitahidi, inaitwa Zero 8 nimeona gsmarena wamei review, angalau kidogo wametumia soc ya heshima, ila still hawajafikia viwango vya hao wachina wakubwa. helio G90T kwenye hii infinix unaweza ukacheza almost game yoyote na pia kurun apps nzito nzito.
 
Sasa kama haina play store huwezi tumia?
Play store ndio kisababishi , ndani yake Kuna YouTube ,drive photo na maps zote hzi huko mbele zinaweza kugoma kuwa installed au kuwa updated
 
Fanya kutafuta samsung J7 prime finger print,4G, Charge fresh no betri heating camera nayo siyo mbaya nilinunua miaka miwili iliyopita kwa 450k kwa hiyo unaweza kuipata kwa bajeti yako
J7 prime kwa 450000? Watu hamna huruma na pesa zenu
 
Mimi nilikuwa na budget ndogo ila nataka simu kubwa....kwa 350,000/= nilijipatia Lenovo K5 Pro mpya kwenye box... 4GB RAM na 64GB ROM. Nakiri kuwa sijawahi jutia kuinunua maana ina powerful processor na Camera kali sana, na nikitoka hapa nataka Lenovo ya 128GB kabisa....
Hiyo Simu sikuwa na bahati nayo , niliagiza AliExpress ikaja na faulty ikazima Siku hiyo hiyo niliyoichukua posta na seller alihoma kufanya refund ,Ila kwa camera kweli ipo vizuri
 
Mkuu lenovo zina pata update kutoka android moja kwenda ingine?
Mkuu umemaanisha kupata google saved settings za previous android? Kama ni hivyo basi jibu ni ndiyo....mimi nilikuwa natumia Tecno before hii hapa, ila siku nilipoingiza google account humu kwa Lenovo ika-backup kila kitu mpaka Wi-Fi passwords na apps zote nilizokuwa natumia kwenye Tecno ya mwanzo
 
Hiyo Simu sikuwa na bahati nayo , niliagiza AliExpress ikaja na faulty ikazima Siku hiyo hiyo niliyoichukua posta na seller alihoma kufanya refund ,Ila kwa camera kweli ipo vizuri
Dah pole sana mkuu...huyo seller hakuwa mwaminifu au alikuuzia simu refurbished....
 
Nikipitia makabrasha tena

Kuna simu moja pia oppo A1K na infinix flan nimeisahau model

Ndo mtu anasema siwezi tumia hiyo infinix ila ila ana oppo inayofanana specs kila kitu hadi processor , resolution , vitu almost vyote kasoro ni maumbo tu battery zote zimelamba 4000mah [emoji848]
Kuna part ya software mzee. Huwezi fananisha software ya Oppo na infinix
 
Back
Top Bottom