Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

Na mimi naomba ushauri kati ya Huawei p30 lite na Samsung galaxy note 8 ipi bora, bei naona haitofautiani sana
 
Hivi kuhusu Huawei, hazina mapungufu yoyote hususani baada ya Mmarekani kuweka vikwazo?
Mimi nakushauri uachane na Samsung why usinunue hata Xiaomi , Oppo , Huawej za kisasa ?
 
Hii simu ni nzuri kuliko Tecno na Infinix?

Simu za Huawei kwa sasa hazina mapungufu yoyote baada ya Mmarekani kuweka vikwazo?

Kama huawei haina mapungufu sababu ya vikwazo, kwa bajeti ya 350,000 - 400,000 simu gani ni nzuri? Kwa bajeti ya 450,000 - 550,000 simu gani inafaa?
Redmi note 9s
 
Huwa kikawaida Xiaomi ana Midrange nzuri kushinda brand nyingi, redmi note 9s specs zake ni nzuri kushinda simu yoyote ya around laki 4.

Huawei wanakuwa vizuri kwenye highend ama midrange za bei kubwa (Honor) hizi simu zetu za chini ya laki 5 si nzuri sana. Na mapungufu bado kuathiri sana Lowend zao maana wanatumia processor za zamani kubypass ban.

Kwa Around 350k mpaka 400k Tafuta Hii poco mpya Xiaomi poco M3 around $129 itakuwa, unaipata kwa hio bei, ama redmi note 8 nayo inapatikana kwa hio budget.

Kama budget inafika 400k mpaka 500k tafuta hio redmi note 9s.

Hapo nimeongelea kama perfomance ni priority.

Ikiwa multimedia ni priority, simu yenye display kali na camera nzuri consider Samsung simu kama A50.
 
Thanks

vp kuhusu hizi oppo mkuu??
 
vp kuhusu hizi oppo mkuu??
Oppo ni nzuri, ila most of time wanauza simu ghali, ama kurelease simu nzuri na zinazopatikana sokoni kuwa mbaya, kuwa makini sana na simu za oppo na vivo kariakoo.

Oppo wana sub brand inaitwa Realme, hii ni nzuri most of time simu zake zinakua reasonable,

Hivyo mkuu inategemea na model na bei inayopatikana.
 
Huwa kikawaida Xiaomi ana Midrange nzuri kushinda brand nyingi, redmi note 9s specs zake ni nzuri kushinda simu yoyote ya around laki 4.

Huawei wanakuwa vizuri kwenye highend ama midrange za bei kubwa (Honor) hizi simu zetu za chini ya laki 5 si nzuri sana. Na mapungufu bado kuathiri sana Lowend zao maana wanatumia processor za zamani kubypass ban.

Kwa Around 350k mpaka 400k Tafuta Hii poco mpya Xiaomi poco M3 around $129 itakuwa, unaipata kwa hio bei, ama redmi note 8 nayo inapatikana kwa hio budget.

Kama budget inafika 400k mpaka 500k tafuta hio redmi note 9s.

Hapo nimeongelea kama perfomance ni priority.

Ikiwa multimedia ni priority, simu yenye display kali na camera nzuri consider Samsung simu kama A50.
Hapo kwenye kipengere cha mwisho hapo umenigusa,
Maana nilishazoea kutumia flagships za zamani kama S6 Edge Plus na S7 Edge (Super Amoled), siku nikasema ngoja nijaribu hizi latest midrange si ndo nikaikwapua A21s sa hivi naichukia japo naikubali ukaaji wa chaji lakini kwenye Display (Pls TFT) naona hovyo tu, hii itamfaa aliyezoea kutumia TECNO

KAMA KUNA MTU MWENYE 350K AJE KKOO NIMUUZIE
NI TOLEO LA 4GB RAM NA 64GB INTERNAL STORAGE
 
Mi nilitoka Note 5 (2015) kwenda oneplus 5T (2017) japo zote ni flagship ila nilipata shida sana kuzoea Kioo.

Ukishatumia Super Amoled, ngumu sana kutumia vioo vyengine.
 
Back
Top Bottom