Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

Hiyo Simu sikuwa na bahati nayo , niliagiza AliExpress ikaja na faulty ikazima Siku hiyo hiyo niliyoichukua posta na seller alihoma kufanya refund ,Ila kwa camera kweli ipo vizuri
Ulinunua refurbished ww au yenye global rom! Hii simu mwezi wa 1 ilikua kwenye promotions za Aliexpress na kuna sellers walikua wanaiuza mpya ndani ya box unakuja kuifungua ww mwenyewe ilikua around 230k - 250k Global version.....
 
Hiyo Simu sikuwa na bahati nayo , niliagiza AliExpress ikaja na faulty ikazima Siku hiyo hiyo niliyoichukua posta na seller alihoma kufanya refund ,Ila kwa camera kweli ipo vizuri

Uko wapi ..na vitu vingi sana vya kuagiza AliExpress ..na sijawahi
 
nimeicheki ni helio p22, ndio hii soc imetumika sana kwenye samsung, tecno, inifinix na wengine wengi, huwa mimi nairecomend kama unataka tu simu inayokaa na chaji ila perfomance yake si kubwa.

pia kuna hii infinix wamejitahidi, inaitwa Zero 8 nimeona gsmarena wamei review, angalau kidogo wametumia soc ya heshima, ila still hawajafikia viwango vya hao wachina wakubwa. helio G90T kwenye hii infinix unaweza ukacheza almost game yoyote na pia kurun apps nzito nzito.
Nimeona GsmArena wamesema Lcd display waliyoitumia kwny zero 8 ni ya low quality to cut costs[emoji41]..tatizo la infinix ni kutoupgrade android versions na skin yao ina tons of blotwares...but specs zake nimezipenda wamejitahidi sana safari hii.
 
Mkuu umemaanisha kupata google saved settings za previous android? Kama ni hivyo basi jibu ni ndiyo....mimi nilikuwa natumia Tecno before hii hapa, ila siku nilipoingiza google account humu kwa Lenovo ika-backup kila kitu mpaka Wi-Fi passwords na apps zote nilizokuwa natumia kwenye Tecno ya mwanzo
Hii kitu naijua namaanisha mfano simu ilikua Android ten je inapata update mpyainayofuatia na zile daily updates zao lenovo wenyewe za kufix matatizo mbalimbali na kuimarisha security
 
Ndio kwaaaanza imeingia sokoni official mchana wa leo, na ni kwa india na Europe..

Na kwa hio pesa hata azidishe mara mbili haipati.
Kwa hiyo ukiagiza online hutaipata siyo mkuu au watakutumia
 
Mi naomba mtu aniambie kwa bajeti ya Tsh.450,000/= napata simu gani angalau nzuri kati Xiomi, Google pixel, Oppo am Sumsung!
 
Device mbili zenye spec mbili tofauti hapo kuna moja nadhan redmi 9 ni mediatek ilihali 9pro ni sd ( snapdragron)
Mkuu sijakuelewa ww umetoa ushauri nichukue ipi cjakusoma maana hapa tunaongelea kati ya redmi note 9s na note 9 pro max,sasa hyo redmi 9 imeingiaje?
 
Mkuu sijakuelewa ww umetoa ushauri nichukue ipi cjakusoma maana hapa tunaongelea kati ya redmi note 9s na note 9 pro max,sasa hyo redmi 9 imeingiaje?
Inaanza 9a inakuja redmi 9s inakuja note 9s kisha kuna 9pro max, jinsi namba inavyobadilika kutoka hio 9a na performance inazidi mzee kama unahela chukua yenye pro max mwisho
 
Back
Top Bottom