mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 248
- 539
Tafuta samsung m51mkuu hapo utapata matoleo ya samsung A
Xiaomi unapatikana wapi?Mimi nakushauri uachane na Samsung why usinunue hata Xiaomi , Oppo , Huawej za kisasa ?
Labda Xiaomi au Oppo. Huawei kumbuka wamekuws banned kutumia services za Google kwahyo hamna PlaystoreMimi nakushauri uachane na Samsung why usinunue hata Xiaomi , Oppo , Huawej za kisasa ?
Sasa kama haina play store huwezi tumia?Labda Xiaomi au Oppo. Huawei kumbuka wamekuws banned kutumia services za Google kwahyo hamna Playstore
Haina Google services kwahyo hautapata services nyingi kutoka Google. Kuanzia Google Maps, Youtube, Gmail, nk. Kumbuka pia hata apps zinazotegemea Play services hazita fanya kazi kwenye maeneo mengine. Sio option nzuri kwa wadau wengi wanaotegemea Google play services. Au ndo unataka kila app ambayo haikut kwnye app store ya Huawei aende ku download ma APK?Sasa kama haina play store huwezi tumia?
Mwanza , Dar nishaziona kibaoXiaomi unapatikana wapi?
A ngapi mkuu?mkuu hapo utapata matoleo ya samsung A
Maduka yao yapo wapi kwa Dar nataka XR note 9.Mwanza , Dar nishaziona kibao
ANataka kununua Simu.
Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung.
Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=.
Nazingatia zaidi good camera na muonekano.
Fanya kutafuta samsung J7 prime finger print,4G, Charge fresh no betri heating camera nayo siyo mbaya nilinunua miaka miwili iliyopita kwa 450k kwa hiyo unaweza kuipata kwa bajeti yako
Infinix ni Tecno iliyochangamkaSimu ulionunua two years back ndo unamshauri mwenzako kwa sasa tena kwa bajet yote hiyo..[emoji848]
Kuliko hiyo bora oppo au infinix atapata nzuri latest tena na chenchi kwanzia elf 90
Sh ngapIpo hapa samsung on7 ipo mafutaa kila idara