supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,017
- 1,965
Mimi nilikuwa na budget ndogo ila nataka simu kubwa....kwa 350,000/= nilijipatia Lenovo K5 Pro mpya kwenye box... 4GB RAM na 64GB ROM. Nakiri kuwa sijawahi jutia kuinunua maana ina powerful processor na Camera kali sana, na nikitoka hapa nataka Lenovo ya 128GB kabisa....Nataka kununua Simu.
Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung.
Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=.
Nazingatia zaidi good camera na muonekano.
Camera yake ngapMimi nilikuwa na budget ndogo ila nataka simu kubwa....kwa 350,000/= nilijipatia Lenovo K5 Pro mpya kwenye box... 4GB RAM na 64GB ROM. Nakiri kuwa sijawahi jutia kuinunua maana ina powerful processor na Camera kali sana, na nikitoka hapa nataka Lenovo ya 128GB kabisa....
Dual Camera 16MP + 5MP(depth sensor)Camera yake ngap
Galaxy A50 mpya unapata kwa laki 5. Camera ni nzuri na ina uwezo mzuriMsaada na mm.na bajet ya lak 4 hadi 5 simu gani nzur yenye camera swafi na weza pata kwa huu mpunga Chief-Mkwawa
Redmi note 9sMsaada na mm.na bajet ya lak 4 hadi 5 simu gani nzur yenye camera swafi na weza pata kwa huu mpunga Chief-Mkwawa
Kwamba Samsung hana Camera nzuri kushinda Huawei na Xiaomi kwenye midrange?Samsung hapana mkuu hapo huwezi kupata Samsung yenye quality haswa upande wa camera na Charge mana flagship ni S series ambayo kwahiyo price ni uongo nakushauri Nunua Aliexperess au ebay check Xiaomi au Huawei
Mm natumia A50 nilinunua laki 5 mpya. Inavigezo hvyo vyote. Camera nzuri, inakaa na chaji na inakua updated regularySamsung hapana mkuu hapo huwezi kupata Samsung yenye quality haswa upande wa camera na Charge mana flagship ni S series ambayo kwahiyo price ni uongo nakushauri Nunua Aliexperess au ebay check Xiaomi au Huawei
Camera sampleMm natumia A50 nilinunua laki 5 mpya. Inavigezo hvyo vyote. Camera nzuri, inakaa na chaji na inakua updated regulary
Check screen on time hyo:
View attachment 1561892
Camera sample:
View attachment 1561894
Usiku kama mchana ukitumia Nightsight, trust me kila mtu atakua anakuomba sim apige picha hata mwenye iphoneKama shida yako camera njoo nikuletee Google Pixel 2 XL , camera kali kuliko iphone X anaeibisha acheki, RAM 4 GB, ROM 64 GB, ANDROID 11, DISPLAY NZURI SANA reviews... ipo full box nakupa kwa 400k fixednichek dm View attachment 1561896View attachment 1561899View attachment 1561897View attachment 1561898
Google Pixel XL au Google Pixel 2 XLMsaada na mm.na bajet ya lak 4 hadi 5 simu gani nzur yenye camera swafi na weza pata kwa huu mpunga Chief-Mkwawa
iPhone Xr (64 gb) 1.45 mMaduka yao yapo wapi kwa Dar nataka XR note 9.
I suggest S9+.NAOMBENI MSAADA NIMEPATA SIMUBILI MOJA NI SAMSUNG S9+ na nyingine ni nokia 7.2 kwa bei ya lak 5 hv simu ipi ni chukue au ipo simu bora kati ya hz mbili
Ni nzuri ila Kuna better A and S choices kuliko especially when Camera, Ram and Android Version are concernedFanya kutafuta samsung J7 prime finger print,4G, Charge fresh no betri heating camera nayo siyo mbaya nilinunua miaka miwili iliyopita kwa 450k kwa hiyo unaweza kuipata kwa bajeti yako
Jamaa amezingua eti amezema labla anipe A51 kwa lak 5 sada swali kati ya A 51 na nokia 7.2 nichukue ip???I suggest S9+.
Muonekano Mzuri
Battery kubwa
Ram Kubwa
Display Quality super
Spares na Accessories are vast
Note.
-Make sure the device is Official,
Avoid custome and rooted device.
- Kagua vizuri display for any cracks and dents.
All the best chief
mzee njoo nikupe Google Pixel 2 xl , icheki youtube ni kali kuliko hizo simu zote unazotaja hapo trust meJamaa amezingua eti amezema labla anipe A51 kwa lak 5 sada swali kati ya A 51 na nokia 7.2 nichukue ip???
Kwa sh ngapmzee njoo nikupe Google Pixel 2 xl , icheki youtube ni kali kuliko hizo simu zote unazotaja hapo trust me
400k , ANDROID 11, RAM 4 GB, BEST CAMERA KULIKO HATA IPHONE TEN (X) , ROM 64 GB, INA FEATURES NYINGI KALI CHEKI YOUTUBE, GOOGLE PIXEL 2 XL REVIEWKwa sh ngap