Kwa SamsungMsaada na mm.na bajet ya lak 4 hadi 5 simu gani nzur yenye camera swafi na weza pata kwa huu mpunga Chief-Mkwawa
Camera zao zote ni 48mpJamaa amezingua eti amezema labla anipe A51 kwa lak 5 sada swali kati ya A 51 na nokia 7.2 nichukue ip???
Kwa hyo kwa ushaur wako nichukue ipi hapo nduguuu????Camera zao zote ni 48mp
Battery ya A51 ni kubwa kwa 500mAh zaidi.
Na size pia A51 ni kubwa kidogo.
Pia A51 ina on screen fingerprints.
Lakini pia hata ukotaka kuuza A51 ni rahisi zaidi kwa kuuza hata exchange pia.
Lakini spare pia za A51 ni vast na ni cheap.
Njoo kariakoo nikupe Redmi Note 9 128gb kwa 600k. Mpya, sealed. Unaweza kunichek 0625547767.Maduka yao yapo wapi kwa Dar nataka XR note 9.
Chukua A50 mzee,Kwa hyo kwa ushaur wako nichukue ipi hapo nduguuu????
Tafuta Xiaomi au Oppo hapa, hutojutia kamwe....Nataka kununua Simu.
Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung.
Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=.
Nazingatia zaidi good camera na muonekano.
Kula 300kNjoo kariakoo nikupe Redmi Note 9 128gb kwa 600k. Mpya, sealed. Unaweza kunichek 0625547767.
[emoji1][emoji1] Ahsante. Ukipata kwa bei hiyo nishtue na mimi nije kufunga mzigo.Kula 300k
Infinix ni Tecno iliyochangamka
ungeitaja hio inifinix tuangalie kama ni kweliKinachokuchanganya ni jina ndo tatizo
Unachek specs za simu unakuta zinashea chip processor na vitu kibao still unasema infinx haiingii labda kwa samsung flan unakuwa umetumia kigezo gani hapo au unaamin samsung ndo wanajua chomelea hivo vifaa vizuri kwenye saket yao🤔
ungeitaja hio inifinix tuangalie kama ni kweli
Mkuu lenovo zina pata update kutoka android moja kwenda ingine?Mimi nilikuwa na budget ndogo ila nataka simu kubwa....kwa 350,000/= nilijipatia Lenovo K5 Pro mpya kwenye box... 4GB RAM na 64GB ROM. Nakiri kuwa sijawahi jutia kuinunua maana ina powerful processor na Camera kali sana, na nikitoka hapa nataka Lenovo ya 128GB kabisa....
nimeicheki ni helio p22, ndio hii soc imetumika sana kwenye samsung, tecno, inifinix na wengine wengi, huwa mimi nairecomend kama unataka tu simu inayokaa na chaji ila perfomance yake si kubwa.Nikipitia makabrasha tena
Kuna simu moja pia oppo A1K na infinix flan nimeisahau model
Ndo mtu anasema siwezi tumia hiyo infinix ila ila ana oppo inayofanana specs kila kitu hadi processor , resolution , vitu almost vyote kasoro ni maumbo tu battery zote zimelamba 4000mah 🤔
Play store ndio kisababishi , ndani yake Kuna YouTube ,drive photo na maps zote hzi huko mbele zinaweza kugoma kuwa installed au kuwa updatedSasa kama haina play store huwezi tumia?
J7 prime kwa 450000? Watu hamna huruma na pesa zenuFanya kutafuta samsung J7 prime finger print,4G, Charge fresh no betri heating camera nayo siyo mbaya nilinunua miaka miwili iliyopita kwa 450k kwa hiyo unaweza kuipata kwa bajeti yako
Hiyo Simu sikuwa na bahati nayo , niliagiza AliExpress ikaja na faulty ikazima Siku hiyo hiyo niliyoichukua posta na seller alihoma kufanya refund ,Ila kwa camera kweli ipo vizuriMimi nilikuwa na budget ndogo ila nataka simu kubwa....kwa 350,000/= nilijipatia Lenovo K5 Pro mpya kwenye box... 4GB RAM na 64GB ROM. Nakiri kuwa sijawahi jutia kuinunua maana ina powerful processor na Camera kali sana, na nikitoka hapa nataka Lenovo ya 128GB kabisa....
Mkuu umemaanisha kupata google saved settings za previous android? Kama ni hivyo basi jibu ni ndiyo....mimi nilikuwa natumia Tecno before hii hapa, ila siku nilipoingiza google account humu kwa Lenovo ika-backup kila kitu mpaka Wi-Fi passwords na apps zote nilizokuwa natumia kwenye Tecno ya mwanzoMkuu lenovo zina pata update kutoka android moja kwenda ingine?
Dah pole sana mkuu...huyo seller hakuwa mwaminifu au alikuuzia simu refurbished....Hiyo Simu sikuwa na bahati nayo , niliagiza AliExpress ikaja na faulty ikazima Siku hiyo hiyo niliyoichukua posta na seller alihoma kufanya refund ,Ila kwa camera kweli ipo vizuri
Kuna part ya software mzee. Huwezi fananisha software ya Oppo na infinixNikipitia makabrasha tena
Kuna simu moja pia oppo A1K na infinix flan nimeisahau model
Ndo mtu anasema siwezi tumia hiyo infinix ila ila ana oppo inayofanana specs kila kitu hadi processor , resolution , vitu almost vyote kasoro ni maumbo tu battery zote zimelamba 4000mah [emoji848]