Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

Hiyo Simu sikuwa na bahati nayo , niliagiza AliExpress ikaja na faulty ikazima Siku hiyo hiyo niliyoichukua posta na seller alihoma kufanya refund ,Ila kwa camera kweli ipo vizuri
Ulinunua refurbished ww au yenye global rom! Hii simu mwezi wa 1 ilikua kwenye promotions za Aliexpress na kuna sellers walikua wanaiuza mpya ndani ya box unakuja kuifungua ww mwenyewe ilikua around 230k - 250k Global version.....
 
Hiyo Simu sikuwa na bahati nayo , niliagiza AliExpress ikaja na faulty ikazima Siku hiyo hiyo niliyoichukua posta na seller alihoma kufanya refund ,Ila kwa camera kweli ipo vizuri

Uko wapi ..na vitu vingi sana vya kuagiza AliExpress ..na sijawahi
 
Nimeona GsmArena wamesema Lcd display waliyoitumia kwny zero 8 ni ya low quality to cut costs[emoji41]..tatizo la infinix ni kutoupgrade android versions na skin yao ina tons of blotwares...but specs zake nimezipenda wamejitahidi sana safari hii.
 
Hii kitu naijua namaanisha mfano simu ilikua Android ten je inapata update mpyainayofuatia na zile daily updates zao lenovo wenyewe za kufix matatizo mbalimbali na kuimarisha security
 
Ndio kwaaaanza imeingia sokoni official mchana wa leo, na ni kwa india na Europe..

Na kwa hio pesa hata azidishe mara mbili haipati.
Kwa hiyo ukiagiza online hutaipata siyo mkuu au watakutumia
 
Mi naomba mtu aniambie kwa bajeti ya Tsh.450,000/= napata simu gani angalau nzuri kati Xiomi, Google pixel, Oppo am Sumsung!
 
Device mbili zenye spec mbili tofauti hapo kuna moja nadhan redmi 9 ni mediatek ilihali 9pro ni sd ( snapdragron)
Mkuu sijakuelewa ww umetoa ushauri nichukue ipi cjakusoma maana hapa tunaongelea kati ya redmi note 9s na note 9 pro max,sasa hyo redmi 9 imeingiaje?
 
Mkuu sijakuelewa ww umetoa ushauri nichukue ipi cjakusoma maana hapa tunaongelea kati ya redmi note 9s na note 9 pro max,sasa hyo redmi 9 imeingiaje?
Inaanza 9a inakuja redmi 9s inakuja note 9s kisha kuna 9pro max, jinsi namba inavyobadilika kutoka hio 9a na performance inazidi mzee kama unahela chukua yenye pro max mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…