Mkuu nakushukuru sana kwa Info.Jaribu pia kwenda kwa MO Nyerere rd nyuma ya Pepsi uliza kwa MO yard Horse hutaamini ana scheme nenda ukatanue kichwa unalipa 30mil anayo pia trailers mbagala ukiona unaenda ofisini unalipa 39% plus bima hapo hapo mnakubalina payment mwezi .....hadi umalize anakupa warrant 6 months ....pita pita linganisha ....kuna fundi mkuu yard kwa nae sana akupe uzoefu plus engine bora kwa anaeanza kuunga unga ......tunajifunzakwa kuzungukia na info sahihi .....chukua hiyo kila heri .....matajiri wengi wapo huko ila hawataki share info za hivi ....
Law exportsNikitaka kuagiza za UK naombei link namna ya kufanya
8th Floor, CRDB Building, Azikiwe Street, Dar es Salaam, Tanzania. PO Box 20660Mkuu nakushukuru sana kwa Info.
Hapo kwa Mo kwa sasa nipo interested sana kwenye trailer. Nahitaji kufika hapo, sijui unanisaidiaje!!
Mkuu, huu uzito ulioweka naamini ndio wanaita GMV sina hakika. Huu ni uzito wa horse + trailer ama ni trailer tupu?Kwa horse ya 6x2 trailet ya supper single ipo rated na Tanroad kubeba gross 48500kg , ya double ipo rated 50000 kg ni rahisi sana ku overload trela ya super single kuliko ya double bed
Kitaalam horse tupu huwezi kupata gvm, huwa uzito wake unaitwa tare,Mkuu, huu uzito ulioweka naamini ndio wanaita GMV sina hakika. Huu ni uzito wa horse + trailer ama ni trailer tupu?
Vipi kwenye horse maana kwenye horse ya 6X2 kuna yenye terias kati ambao huwa na super single na nyingine tairi moja tu ya kawaida na nyinginezo huwa na double tire. Je, hizi hubeba mzigo sawa pia. Nitashukuru kwa elimu yako.
I second you,especially hapo kwenye kipengele cha mkopo wa benki.Mimi binafsi ninge kushauri ungepata scania mende ya mchaga inarudisha pesa haraka na used ni 80-90m kwa Dar zipo, kwa wiki inaleta 1.8m, kuhusu mkopo kama kuna wezekano wa kununua mwenyewe subiri upate hiyo pesa au muelewane na mwenye gari umtangulizie tu, ila benki za hapa hazisaidie ila zinafilisi ndo zinapopata faida yao, biashara ya gari sio ya kuchukulia mkopo benki, risk analysis yake is above 50% don't risk mkopo
Nipe connection mkuu, mtaji ninao wa kutosha ila ndio hivyo tena sina connectKwamba huzioni au ? Labda mkoa ulipo Ila zipo nyingi sana ila mtaji uwe kuanzia m17 hivi sio laki tano tu hadi m4 kwa siku unalaza kutegemea umechanga vip karata zako
Miezi ishapita lakini,usikate tamaa kama bado ukufanikiwaSoma Update yake hapo juu nimeshaeleza. Ahsante
Hahaaaaa ,unazingua mkuubiashara hii inatakiwa kwanza uwe mwanga kidogo vinginevyo yatakushinda , kuna jamaa yangu mmoja anakaa huko TZ mtu wa tanga anakwambia yeye magari yake 10 7 kati yake ni Fisi sio Fuso, dunia ina mambo sana hii, kaa chonjo unga robo.
Ahsante kwa ushauri wako. Nimeshanunua horseNenda kwa wachina chukua zako howo au faw brand new utanishukuru baadae horse ikitulia trailor Haina gharama ila msingi uwe trailer na Kama inaaanza maisha brand za scania potezea Bora uchukue dad usije ukakurupuka kwenye R-series utaimba kikwenu
Ndo hapo nashangaa, mtu akikurudisha nyuma ikiwezekana muumizeUnakubalije mtu akutie hasara? Alafu unamwacha tu, huna uchungu na mali yako au pengine ulisha ridhika
Kwa tafsiri yeyote yule mtu yeyote atakae fanya upuuzi huo kwenye mishe zangu apotee tu mazima, nitakula nae sahan moja
Mtu anakurudisha nyuma unamwangalia tu? Hata gari zako inawezekana kabisa watu walikusaidia kuziua kwa kukuuzia vipuli fake