Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

Fred Leonard

New Member
Joined
Jan 3, 2024
Posts
4
Reaction score
10
Habari Ndugu wana jamii forum
Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4

ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya
1. Political science and public administration
2.law
3. Law enforcement
4. Social work

Zinahusu nini kiundani zaidi maana sina information za kutosha kuhusiana na hizo kozi
Na pia ushauri kua nichague kozi ipi kati yahizo au kama kuna kozi nyingine nzuri mnaweza nishauri ni zipi hizo ili niweze kusoma na
kuendelea na msomo yangu..

Asante sana nasubili maoni yenu ndugu wana jamii forum 🙏
 
Fredy kama unaweza tambua kusudi la kuubwa kwako duniani, basi inakua ni bora zaidi na utafanikiwa zaidi, huko ndiko kwenye Baraka zako tele.

-Pia kuna hii Diplomacy and International affairs
 
Pia unawaza kusoma Bachelor of Project Management Monitoring and Evaluation
 
Fredy kama unaweza tambua kusudi la kuubwa kwako duniani, basi inakua ni bora zaidi na utafanikiwa zaidi, huko ndiko kwenye Baraka zako tele.

-Pia kuna hii Diplomacy and International affairs
Asante sana kwa ushauri na motivation pia🙏 hyo coz ipo chuo gani kiongoz na coz ya diplomatic and military history ina relate na hyo ulio sema
 
Hio ya Diplomatic and military history siijui
Chuo kipo Kilwa road opposite na JKT ya mgulani nadhani
 
Habari Ndugu wana jamii forum
Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4

ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya
1. Political science and public administration
2.law
3. Law enforcement
4. Social work

Zinahusu nini kiundani zaidi maana sina information za kutosha kuhusiana na hizo kozi
Na pia ushauri kua nichague kozi ipi kati yahizo au kama kuna kozi nyingine nzuri mnaweza nishauri ni zipi hizo ili niweze kusoma na
kuendelea na msomo yangu..

Asante sana nasubili maoni yenu ndugu wana jamii forum 🙏
unatumia smartphone kufanyia nn mkuu? yaani mtu wa form 6 unataka kila kitu ufafanuliwe si utafute mwenyewe
hizi one mnazipataje siku hizi nyie madogo? inauzi sana yaani
 
Habari Ndugu wana jamii forum
Mimi ni kijana niliye hitimu kidato cha sita mwaka 2024 combination ya HGL nikiwa na ufaulu wa div 1.4

ninaomba ushauri juu ya uchaguzi wa kozi kati ya
1. Political science and public administration
2.law
3. Law enforcement
4. Social work

Zinahusu nini kiundani zaidi maana sina information za kutosha kuhusiana na hizo kozi
Na pia ushauri kua nichague kozi ipi kati yahizo au kama kuna kozi nyingine nzuri mnaweza nishauri ni zipi hizo ili niweze kusoma na
kuendelea na msomo yangu..

Asante sana nasubili maoni yenu ndugu wana jamii forum [emoji120]
Usiposoma Shahada ya Sheria (LLB),
Zingine zote hapo kwenye orodha yako zitakuja kukutoa machozi kitaa.
 
Back
Top Bottom