Naomba ushauri wa njia bora ya kuendesha Microfinance

Unajua kwanini watu wanaweka interest kubwa ? Sababu ya risky mkuu kibongo bongo watu ku default loans nje nje kwahio watu wanaweka interest kubwa kulingana na risk involved hata ukipigwa na wawili wale wanne watakaolipa bado faida itabaki...

By the way vibali unavyo ? Kumbuka na mambo ya vibali na vitu kama hivyo navyo vitaongeza overheads
 
Wakopaji wana uzoefu mno na wewe huna, Unaweza dhani unatoa mikopo kumbe unatapeliwa. Kuwa makini sana na dhamana, epuka watu wanaokopa na kurudisha haraka kisha kukopa tena ela nyingi zaidi.
 
Wakopaji wana uzoefu mno na wewe huna, Unaweza dhani unatoa mikopo kumbe unatapeliwa. Kuwa makini sana na dhamana, epuka watu wanaokopa na kurudisha haraka kisha kukopa tena ela nyingi zaidi.
Bora wanaochelewesha?
 
Bora wanaochelewesha?
Hapana, nisome unielewe mkuu, nimesema epuka watu wanaokopa na kurudisha haraka haraka halafu anataka umkope pesa nyingi zaidi.

Ukikutana na mtu wa aina hii hakikisha umeupdate dhamana yake, wadhamini umewasiliana nao upya, umehakiki taarifa zake za kipato upya ndipo mpatie.

Sifa za mkopaji mzuri ni yule ambaye ana mengi ya kupoteza akiamua kutokulipa. Mfano: Umeshikilia dhamana yenye maana, ana wadhamini wanaoheshimiana sana, ana kazi ambayo ni rasmi na iwapo atatembelewa kazini na mkusanya madeni ni aibu kubwa.
 
Gharama za hiyo system ni kiasi gan na inapatikanaje?
 
Gharama za hiyo system ni kiasi gan na inapatikanaje?
Though kunakua na gharama nyingine za sms, kama unahitaji wateja wapate confirmation message kila wakifanya marejesho
 

Attachments

  • IMG_0663.png
    91.8 KB · Views: 26
Wabongo sio waoga kwenye kukopa na shida ndio zinazowafanya wakose uoga mi mwenyewe nishawahi kugoma kulipa deni la riba nilienda benki nikatoa taarifa kuwa nimepoteza kadi wakaiblock kadi mwamba kila akijaribu kutoa pesa inagoma.

Siku akaja kunitimbia na polisi ili nilipe deni next day mi nikaenda Takukuru toka siku hiyo tukawa tumemalizana sema ilibidi nibadilishe mji maana watu wa Musoma angenidedisha hata na panga.
 
Pesa sio bidhaa bro, hii mwisho wake sio mzuri.
 
Watumiaji, idadi ya watu wanaoweza Kutumia Kwa wakati Moja?
idadi ya watu ni unlimited, labda kama uko na branches zaidi ya moja. Kila moja inalipiwa kivyake kuongeza tu ufanisi wa kazi..
 
Lipa pesa ya watu bro..dhuluma ni mbaya sana it will cost u.
 
Kuna mahali umewataja wanajeshi kama walipaji Wazuri wa mikopo, Jee vp kuhusu manesi wa hospital za Serikali?
 
Asante Sana . Mikopo ya watu binafsi hukuelezea inakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…