Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Very strange! Sijawahi kukutana na mahesabu kama haya mkuuHizo gharama za mikopo , inajumuisha gharama za kumtembelea mteja, kukagua dhamana., Gharama za uendeshaji mkopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very strange! Sijawahi kukutana na mahesabu kama haya mkuuHizo gharama za mikopo , inajumuisha gharama za kumtembelea mteja, kukagua dhamana., Gharama za uendeshaji mkopo
Pole sana. Msaidieni kijanaHela haiitaji huruma aisee,, Ilibaki kidogo tu niingie shimoni😂😂
Nadhani atakua ameelewaPole sana. Msaidieni kijana
Unajua kwanini watu wanaweka interest kubwa ? Sababu ya risky mkuu kibongo bongo watu ku default loans nje nje kwahio watu wanaweka interest kubwa kulingana na risk involved hata ukipigwa na wawili wale wanne watakaolipa bado faida itabaki...Wadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo faida kidogo.
Kwa Sasa interest rate yangu 3.5% Kwa mwezi (0.035%). Gharama nyingine ni ndogo sana.
Jumla ya Gharama na Riba 10%.
Wadau naomba mnipe MBINU zaidi niwezi boresha Hii huduma Kwa upana zaidi.
Bora wanaochelewesha?Wakopaji wana uzoefu mno na wewe huna, Unaweza dhani unatoa mikopo kumbe unatapeliwa. Kuwa makini sana na dhamana, epuka watu wanaokopa na kurudisha haraka kisha kukopa tena ela nyingi zaidi.
Hapana, nisome unielewe mkuu, nimesema epuka watu wanaokopa na kurudisha haraka haraka halafu anataka umkope pesa nyingi zaidi.Bora wanaochelewesha?
Gharama za hiyo system ni kiasi gan na inapatikanaje?Mkopo wako walengwa ni kina nani???, watumishi, wajasiriamali au watu binafsi??
Kama ni wajasiriamali wadogo wadogo nakushauri weka riba asilimia 20% na 4% gharama ya fomu( kama taratibu nyingine za ukaguzi na utambulisho wa serikali za mtaa na malipo ya software kama unatumia)...
Wajasiriamali weka utaratibu wa kua wanaleta marejesho kila siku ili kupunguza risks za kupoteza hela, walau mpaka mwezi ukiisha hatakama anakua hajamaliza basi deni libaki kidogo tofauti na ukimpa mwezi mzima alipe sikumoja kwa MJASIRIAMALI mdogo ni changamoto kupata hela kwa pamoja....,
Kabla hujampa hela make sure unathaminisha dhamana zake walau ziwe na thamani mara mbili au mara tatu ya hela anayochukua,.
Na awe na wadhamini wasiopungua wawili na hakikisha wote wanasign siku ya kuchukua mkopo ili iwe rahisi kupata msaada siku kukitokea changamoto ( Make sure wote watatu wanaambatanisha passport na copy za vitambulisho na muhuri wa kiongozi wa mtaa kwenye fomu yake ya kuombea mkopo)
The last but not least, make sure unakua na system nzuri ya managements( hapa nazungumzia microfinance software's za uhakika kama FIMA), Japo wana cost ghali lakini ufanisi wake ni mkubwa
Gharama za hiyo system ni kiasi gan na inapatikanaje?
Though kunakua na gharama nyingine za sms, kama unahitaji wateja wapate confirmation message kila wakifanya marejeshoGharama za hiyo system ni kiasi gan na inapatikanaje?
Wabongo sio waoga kwenye kukopa na shida ndio zinazowafanya wakose uoga mi mwenyewe nishawahi kugoma kulipa deni la riba nilienda benki nikatoa taarifa kuwa nimepoteza kadi wakaiblock kadi mwamba kila akijaribu kutoa pesa inagoma.Interest rate 3.5% kwa io gharama ni 6.5%? Hapo sijaelewa
Bongo biashara ya kukopa pesa hasa Hawa wajasiriamali na watumishi kwa njia ya wao kuacha kadi inahitaji ukauzu sana, nunua panga kabisa jipya hapo
Wenzako Wanaweka riba ya 20% kwa mwezi na Kila siku wanafunga
Niliwahi kufanya hii kazi, ujinga wa hii kazi ni mmoja, wakiskia umefungua ofisi mpya watakuja kama mvua, hua wanaita chimbo jipya, ila sasa Hawa ni wale wadaiwa sugu ambao washakimbia na madeni karibu ofisi zote eneo Hilo, hawakopesheki tena
Ni sawa na mtu ana deni songesha, m PAWA, mgodi, chomoka etc siku akiona huduma mpya ya kukopa pesa anaikimbilia fasta, maana kwingine hakopesheki,na Hana Nia ya kulipia
Na ujinga ni kua hizo ofisi zilizokuzunguka hawawezi kukupa data zao ukawajua wasumbufu, kua makini ndugu wabongo kukopa sherehe kulipa matanga
Very strange! Sijawahi kukutana na mahesabu kama haya
Kwa user wangapi hiyo $10, $60, $120Though kunakua na gharama nyingine za sms, kama unahitaji wateja wapate confirmation message kila wakifanya marejesho
Users ukiwa na maana idadi ya wamiliki au wateja???Kwa user wangapi hiyo $10, $60, $120
Watumiaji, idadi ya watu wanaoweza Kutumia Kwa wakati Moja?Users ukiwa na maana idadi ya wamiliki au wateja???
Pesa sio bidhaa bro, hii mwisho wake sio mzuri.Wadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo faida kidogo.
Kwa Sasa interest rate yangu 3.5% Kwa mwezi (0.035%). Gharama nyingine ni ndogo sana.
Jumla ya Gharama na Riba 10%.
Wadau naomba mnipe MBINU zaidi niwezi boresha Hii huduma Kwa upana zaidi.
idadi ya watu ni unlimited, labda kama uko na branches zaidi ya moja. Kila moja inalipiwa kivyake kuongeza tu ufanisi wa kazi..Watumiaji, idadi ya watu wanaoweza Kutumia Kwa wakati Moja?
Lipa pesa ya watu bro..dhuluma ni mbaya sana it will cost u.Wabongo sio waoga kwenye kukopa na shida ndio zinazowafanya wakose uoga mi mwenyewe nishawahi kugoma kulipa deni la riba nilienda benki nikatoa taarifa kuwa nimepoteza kadi wakaiblock kadi mwamba kila akijaribu kutoa pesa inagoma.
Siku akaja kunitimbia na polisi ili nilipe deni next day mi nikaenda Takukuru toka siku hiyo tukawa tumemalizana sema ilibidi nibadilishe mji maana watu wa Musoma angenidedisha hata na panga.
Hiyo kampuni inaetwaje? , Nasikia Wakanda na Pima ndio Waziri?idadi ya watu ni unlimited, labda kama uko na branches zaidi ya moja. Kila moja inalipiwa kivyake kuongeza tu ufanisi wa kazi..
Kuna mahali umewataja wanajeshi kama walipaji Wazuri wa mikopo, Jee vp kuhusu manesi wa hospital za Serikali?Ok
Kwa watumishi make sure, kigezo cha kwanza awe ni mtumishi wa serikalini hawa wa sekta binafsi achana nao,( Labda wa afya),. Ukipata wanajeshi pia utaenjoy sana...usikopeshe walimu utalia na kusaga meno🤒🤒( just kidding)
Riba ya watumishi make sure inapanda kutokana na mda watakaokaa na mkopo wako, ukiaanza na 30% kwa mwezi mmoja, 40% miezi miwili na 50% miezi mitatu.. Inategemea sasa na competition ya eneo ulilopo( unaweza kupunguza kidogo ili uwawini wenzio ambao unahisi wanaweza kukutoa mchezoni )..
Nikiwa na maana kwamba mfano, akichukua Tsh.100000 ndani ya mwezi mmoja atatakiwa kulipia Tsh 130000,. Kama atalipa ndani ya miezi miwili atatakiwa kulipia Tsh 140000, means mwezi wa kwanza utamkata 70000 na mwezi wa pili tsh 70,000. Na kama atalipa ndani ya miezi mitatu means atatakiwa kulipa 150, 000, utamkata 50,000 kila mwezi ndani ya miezi mitatu.
Kama kweli unataka kupata faida make sure mikopo yako haizidi mda wa miezi mitatu,( Hiyo ndo iwe maxmum) akitaka ya kuanzia sita hadi mwaka aende Bank..
Watumishi hakikisha wanakuachia kadi pamoja na pins zao kama dhamana, pamoja na bank statements walau za miezi6 hadi mwaka,.., Pamoja na fomu ya uthibitisho kutoka kwa afisa utumishi wake ili ujihakikishe kama kweli anafanya kazi kitengo husika,
Kuhusu penalties nadhani nitakuelekeza wakati mwingine,, Soma kwanza hii ukielewa tuendelee na Mikopo ya watu binafsi🙏
Asante Sana . Mikopo ya watu binafsi hukuelezea inakuajeOk