RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
- Thread starter
-
- #81
wazo zuri.Kwanza kuku chotara usinunue kwa wafugaji, kama kuroiler nunua moja kwa moja kwenye kampuni yao AKM Gliters, saso ile kampuni nimesahau jina au tanbro wa interchick, pia ukitaka mradi ukue haraka nunua incubator , tengeneza mabanda ya kulelea vifaranga ya kisasa ambayo vifaranga havitapata magonjwa kirahisi..
kwa kuku wa kienyeji nunua matetea ata mia mbili kidogo kidogo, wakiwa wanataga mayai unaweka kwenye incubator usiwaruhusu walalie wakitaka kulalia wanaweka kwenye maji ili zile dalili za kulalia zipotee baada ya wiki mbili anaanza kutaga tena .
Pole mkuu.Mimi hata sikuagwa nikiambiwa baada ya siku tatu kuku wamefungiwa Banda.
Ikabidi nimtume mtu akawahamushie Kwa Kwa jamaa yangu; niliemtuma nae akanipiga na kitu kizito; huko nako nilikopelekwa ikawa shida.
Nilianzw na kuku wa kienyeji 20 mpaka kijana anaondika walikuwa 170+ niliokuja kuambulia ni 15 tu
Asante kwa ushauri.Halafu kitu kingine kuhusu soko
Kuku chotara akishafika mkubwa hna soko sana kma broilers hawa kuku lbda utegee msimu wa skukuu ndo uuze iyo bei ya 30000 na kweli utpta pesa ila kma untka kuku wa biashara fuga broilers tu ambao ndani ya mwezi unauza
Kma utategea kipindi cha skukuu tu hao kuku utauza kweli kweli ila kma unavofikiria ww hawatokulipa niamini nakwambia haya sitaki uje kuuchukia ufugaji wa kuku mna umesema huna uzoefu nao
Nimechukua ushauri wako kaka.Kwa hali ya hewa ya Tanga ni joto na hayo mabanda yako umeyajenga mafupi mno hili litapelekea kuku kutopata hewa nzuri na hupelekea vifo kwa kuku
Kwaio mm ushauri wangu ni bora ungeyarefusha mabanda hyo na uweke madirisha makubwa ili hewa iingie vizuri
Nakushauri hivi bcz yashanikuta
Nikweli kaka, lakini unawezaje ongeza vyanzo vya mapato kama kila kimoja kitahitaji uwepo wako?.Shida inakuja pale unapokuwa mbali kimajukumu
Mkuu kheri kufanya kisha ukifeli utanya tena kuliko kutofanya kabisa. Mimi ndio naanza nahitaji nijibane na angalau kila siku nne za wiki nipo Tanga kwa sasa mpaka 2027, kwahio ntakua na uangalizi mzuri tu.Ni kweli sababu mtu mwenye exposure kukuingizia hela ndefu halafu umlipe 140K ni ngumu. Utapigwa utachakaa
Mkuu biashara kama unaianza huwezi mlipa mtu hivyo, kwanza unakua huna uhakika wa mambo mengi nsa vingi tunavyoweka kwenye mpango kazi ground hua tofauti.Kwa mtindo huo utafanikiwa, sikuhizi biashara ya kumsindikiza mtu kwenye utajiri hakuna 😀!
Ni ama twende wote au niende mimi we ubakie nyuma. Ila sio mie nikupeleke wewe halafu nibakie pale pale. Kila mtu anataka maisha mazuri.
Kuna shemeji yangu ana mradi mkubwa sana wa almost kuku 20,000 kwa sasa sema yeye ni wa nyama wale. Ameajiri manager anamlipa 4M kila mwezi. Yeye ana tender interchick kuwazalishia kuku na wanapiga hela haswaa maana Meneja anafanya kazi kweli kweli.
Hivyo ndio jinsi ambavyo biashara inatakiwa kufanyika sio mambo ya wewe kukutengenezea million 30 kila mwezi halafu mie unipe laki na nusu. Hatuendi hivyo ila kwa percentage utafanikiwa.
Ushauri mzur Sana huuWe jamaa,una ndoto nzuri,ila nikuambie huwezi kufuga kuku chotara na kienyeji kwa idadi hiyo unayotaka bila kuwa na eneo kubwa kwa kifupi Shamba.Tena lisipungue heka 3.
Kufuga kuku Chotara na kienyeji utegemee kuwalisha kwa chakula cha dukani kwa muda wote ni hasara.Ni hasara kwa sababu hawakui kwa haraka kama broiler,
Na kwa vile unataka kuwafugia kwenye mabanda maana yake lazima uwanunulie chakula cha dukani kila mara
Shamba ni la nini?
Shamba hilo litakusaidia wewe kupunguza gharama za ulishaji kwa wewe kulima mazao ya kuwalisha kuku wako,.Mazao kama Mahindi,mtama uwele na Alizeti.Na pia utapanda majani na kutengeneza Azola pia Funza kwa ajili ya protein,
Pia Shamba hilo hilo litatumika kuwaachia kuku wako free waokote chakula mashambani kuliko kuwafungia ndani muda wote.
Kumbuka kuwa kwa idadi hiyo ya hao kuku maana yake utahitaji eneo la kutupia mbolea.So ukiwa na Shamba maana yake hutapata shida kwa kuhifadhi mbolea,na utalima bustani.
Cha mwisho hakikisha unaajiri Daktari wako kwa ajili ya kuwaangalia hao kuku kila siku
Ndio unatakiwa usimamie hadi uweze kulipa watuMkuu biashara kama unaianza huwezi mlipa mtu hivyo, kwanza unakua huna uhakika wa mambo mengi nsa vingi tunavyoweka kwenye mpango kazi ground hua tofauti.
Hapo utafanikiwa anza kusimamia mwenyewe tuMkuu kheri kufanya kisha ukifeli utanya tena kuliko kutofanya kabisa. Mimi ndio naanza nahitaji nijibane na angalau kila siku nne za wiki nipo Tanga kwa sasa mpaka 2027, kwahio ntakua na uangalizi mzuri tu.
Hao wenye elimu kubwa siwahitaji Kwa Sasa, nahitaji mtu alieishia form four tu na akafeli. Siku mambo yakiwa mazuri ntatafuta hao wanaohitaji mishahara mikubwa Sasa kulingana na namna mradi unavyozidi imarika.Ndio unatakiwa usimamie hadi uweze kulipa watu
Ok shukranNimechukua ushauri wako kaka.
Samahani lakini, Kwani wewe ni wakike?EEEeeenHeeeee!
Ona huyu mlevi, sijui anatafuta kitu gani huku JF. Umeona wapi nikiuliza 'details' hizo unazodai wewe?
Sasa ushauri wako kwake ni nini, akalewe kama ulivyolewa wewe?
In fact, wewe siyo mlevi, wewe ni chizi.
Hatariii mkuu mapambano yanaendelea. Ingawa sio rahis lkn tunaendelea kupambana.Binafsi nimekusoma sana mkuu. Naiona comintment kubwa ndani yako. Shida ya Jf hasa jukwaa letu linakosa kabisa mrejesho sijui shida huwa ipo wapi. Mfano uzi maarufu wa nimeamua kulima mara ya pili hauna kabisa mrejesho zaidi ya miaka 10 sasa... nakutakia ufugaji mwema twende malawi tukatafute kuku next weak
EEeeenHeeeee!
Huo mstari wako wa mwisho umenifanya nicheke kabisa.
Hapana, hao wenye elimu ya namna hiyo wapo Tanzania pekee.
Nikutahadharishe tena; kama utatekeleza (kwanza siamini) ulivyoyaweka hapo kwenye mada yako mwanzoni, jihesabu kuwa hasara sehemu ya juhudi zako.
Kama wewe hujali hasara na kupoteza muda, basi endelea kama ulivyopanga mwenyewe.
Ningekuelewa kama ungekuja hapa katika mada hii na kusahihisha makosa yaliyo wazi katika mpango wako huo, hapo ningekuelewa kidogo na mada yako ingeleta maana.
Lakini kung'ang'ania hapa mpango usioweza kuleta ufanisi, ni kama huu wako na kujidai kuutekeleza, inaondoa kabisa maana ya wewe kuleta mada yako hapa.
Ni kama hakuna lolote unalojifunza, na huku wewe mwenyewe umeanza kwa kuomba ushauri.
Vuta pumzi, angalia upya uliyopanga, na sahihisha yaliyo wazi kusahihishwa katika mpango wako wa mwanzo; kama kweli wewe unayo nia ya kufuga kama unavyodai.
Asantee mkuu wangu ingawa changamoto ninyingi sana, kwenye hesabu yetu ya elfu tano ndio wapo 800 mpaka sasa.Hongera sana mkuu hakika ulithubutu