Mafanikio yako yapo mikononi mwako. Hakuna atakayekusaidia wewe zaidi yako wewe mwenyewe.
Unatakiwa uwe msiri sana, fanya mambo yako kwa usiri.
Waage umepata kazi sehemu fulani, hawatakuzuia. Ukifika huko panga chumba, ingia kwenye udereva ukiishirikisha akili yako mwenyewe.
Pambana vile unavyoweza ndugu. Usikwaruzane na mtu yoyote kwenye maamuzi yako.
Inatakiwa, wakishagundua upo kwenye jambo tayari au una malizia.
Kwa mfano. Km unataka kufanya biashara, anzisha kimya kimya, wakija shituka tayari umeshaanza biashara siku nyingi.