Lakini pia wale ni wazazi wako acha kuwasusia eti kwakuwa hawaongei sijui, wanakupenda naamini, sema wanakuona bado mtoto. Jaribu kuwa karibu na kuongea nao, haswa mamako, pia baba wengi ukiongea nae atakusikiliza tu, mwambie challenge zako lazima atakusikiliza, hata kidogo siamini kuwa hawakupendi.Asante kwa ushauri ndugu
Sijawahi kuwasusia wazazi wangu. Sema tu ni ile type ya wazazi ambao ni wakali sana haswa mama yangu! Kiasi kwamba inakua ngum kuwa karibu .. na kuna hali flani ivi ya kutojiamini maana kila unachofanya unakosolewa bila kuambiwa nini cha kufanya!Lakini pia wale ni wazazi wako acha kuwasusia eti kwakuwa hawaongei siuji, wanakupenda naamini sema wanakuona bado mtoto. Jaribu kuwa karibu na kuongea nao, haswa mamako, pia baba wenhgi ukiongea nae atakusikiliza tu, mwambie challenge zako lazima atakusikiliza, hata kidogo siamini kuwa hawakupendi.
Ni kama nilivyo aninisha hapo mwishoni mwa post yangu.
Ipo wazi ndugu yanguMsimamo/misimamo yako hasa ni ipi halafu utuombe ushauri juu ya madhara yake kwa siku za mbele mpendwa !
Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
Kwahio kwa sasa wapo tayar uende popoteSio kwa sasa🤣
Tafuta sasa namna ya wewe kuwashawishi wakuruhusu uondoke ili ukatimize kile unachokiona!And that's what am trying to do!
SawaUshakua Sasa
Mambo ya kukaa na vitu rohoni achaa
Muite mama Ako Kaa nae ongea nae
Mueleze usije zidiwa ukapasuka
Kukaa kimya hakuna tofauti na jibu la haujitambui
Simamia unachokuamini ongea na wazazi wako
Kama wamekutafutia bwana ujue mapema
Unaweza Kuta ndo maana hawataki utoke apo
Nasimamia nachokiamini haijalishi wapo tayari au sio..Kwahio kwa sasa wapo tayar uende popote
NmekuelewaTafuta sasa namna ya wewe kuwashawishi wakuruhusu uondoke ili ukatimize kile unachokiona!
Asante.simamia ndoto zako....furaha yako ...maisha yako...
Kujitambua kwako kuna tafsiri gani?
Unachoweza kufanya sasa fanya usingoje maana aisee miaka inaenda kasi.Nashkuru sana.
Nmekuelewa zaidi asante sana.Mafanikio yako yapo mikononi mwako. Hakuna atakayekusaidia wewe zaidi yako wewe mwenyewe.
Unatakiwa uwe msiri sana, fanya mambo yako kwa usiri.
Waage umepata kazi sehemu fulani, hawatakuzuia. Ukifika huko panga chumba, ingia kwenye udereva ukiishirikisha akili yako mwenyewe.
Pambana vile unavyoweza ndugu. Usikwaruzane na mtu yoyote kwenye maamuzi yako.
Inatakiwa, wakishagundua upo kwenye jambo tayari au una malizia.
Kwa mfano. Km unataka kufanya biashara, anzisha kimya kimya, wakija shituka tayari umeshaanza biashara siku nyingi.
Ni mtoto wa 5 kati ya 7 tuliozaliwa.Ni mtoto wa ngapi?
Kwa sasa umesoma fani ipi?
Asante ndugu yangu.Mkuu pole Sana najua ukiona digidigi kakua basi kakwepa wawindaji wengi Sana ikiwa Ni binadamu na wanyama wenzake wenye asili ya kula nyama!! Hongera kwa hilo ila Sasa bado unawindwa Sana hivyo bado unayo changamoto Sana kuendelea ki maisha maana maisha Bora ni msingi mzuri kutoka kwa wazazi sio lazima wakupe mtaji pesa no! Hata kauli njema Ni kheri katika maisha ushauri wa haraka katika hili la kutaka kuujua Udereva naomba endelea kuwa mjinga tafuta chuo karibu na home then soma ila napenda kujua unategemea kusomea magari gani malori, mabasi au magari madogo na katika hatua zipi? VIP au transportation