Naomba ushauri, wazazi wangu hawataki nisome ujuzi mwingine zaidi ya taaluma niliyosoma

Mimi sio mtoto mdogo, unaweza kushauri pia kama nitauweza nitaufata kama siwezi bas nitafata mengine.
Wewe Kuna sehemu haupo sawa kama kweli ni graduate basi elimu ya Tanzania Bado Sana, siku ukitaka kuolewa njoo pia tukushauri
 
Nakupongeza sana, yaani situation ya nyumbani imekufanya kuwa mtafutaji mapema, huwezi kufa njaa, na unaweza kujitegemea.
 
Hao wazazi wako wanakuchunga usije megwa hovyohovyo.
Waambie umepata ndugu wa JF ambaye ni mm nitakuwa karibu yako kama advisor.
 
Nakupongeza sana, yaani situation ya nyumbani imekufanya kuwa mtafutaji mapema, huwezi kufa njaa, na unaweza kujitegemea.
Nashkuru, ni kheri kuliko kujitegemea kwa kudanga.
 
Hao wazazi wako wanakuchunga usije megwa hovyohovyo.
Waambie umepata ndugu wa JF ambaye ni mm nitakuwa karibu yako kama advisor.
Kuchungwa? Kwani sku zote au masaa yote nipo nao?
Mtu kumegwa anamegwa tu haijalishi anachungwa au hachungwi.
 
Ela ni ngumu, pia wakati ni ukuta sasa nikuulize..

1. Je unataka kusomea udereva ili iweje?

2. Je kwanini usisomee upishi ambao ulikua unaupenda?

3. Je chuo kikuu umesomea nini?

NB: Nijibu maswali yote bila kuruka hata moja.
 
1. Nipate skills, chochote kinaweza kutokea, nina plan ya kufanya biashara ambapo ni vyema kujifunza gari

2. Upishi nitasoma tena baada ya kuwa dereva.

3. Nmesomea sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…