johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nunua kifaru,Kwa mazingira yetu ni Bomba sana🏃😂Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba
La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betty ikiwa full.unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15
Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol un atembea km 25
Hawapo barabarani hayana muungurumo zaidi ya kupiga honi tu
Bei yake moja
Ushauri tafadhali lipi litafaa zaidi katika mazingira ya Tanzania
Natanguliza shukrani
Bwashe Wacha miyeyusho. Jukwaa la siasa unapost vitu kama hivi?Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba
La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betty ikiwa full.unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15
Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol un atembea km 25
Hawapo barabarani hayana muungurumo zaidi ya kupiga honi tu
Bei yake moja
Ushauri tafadhali lipi litafaa zaidi katika mazingira ya Tanzania
Natanguliza shukrani
Ile ya Umeme na Petrol betry inajichaji automaticallyYaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae u upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!
Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (tatu hivi)
Bwashee Petrol ni siasa ujueBwashe Wacha miyeyusho. Jukwaa la siasa unapost vitu kama hivi?
Nafikiri hiyo ndo future. Betri zitakuwepo tu na vituo vya kuzijaza zinapoisha. Ukiingia kwenye kituo unampa empty betry anakupa full betry. Huko mbeleni nadhani binadamu wataachana na magari ya mafuta.Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!
Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga
Tsh 20 millionWanayauzaje
Ova
Hajui Kama Hangaya ndo kaleta tozo saivi nimetoka sheli petrol ni 3410Tsh/litreBwashee Petrol ni siasa ujue
Hahahahahah........yaani uchaji Bettry masaa 8 utembee km 200 tu? Hiyo Ni Gari ya housegirl kuendea sokoni. Ruti fupi fupi.Bwashee Petrol ni siasa ujue
Kutoka Dar hadi kigoma inabidi uwe na mzigo wa betri 7 ndiyo uweze kufikaYaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!
Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga
Unakuwa na power bankKutoka Dar hadi kigoma inabidi uwe na mzigo wa betri 7 ndiyo uweze kufika
Mkuu hii ni bei elekezi ya dar au wapi?Hajui Kama Hangaya ndo kaleta tozo saivi nimetoka sheli petrol ni 3410Tsh/litre
Uliza na bei ya hiyo Battery kwa sababu hiyo ndio changamoto kwetu.Tsh 20 million
Wapi picha, au umemtumia manka mkeo, pale Rau madukani?Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba
La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betty ikiwa full.unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15
Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol un atembea km 25
Hawapo barabarani hayana muungurumo zaidi ya kupiga honi tu
Bei yake moja
Ushauri tafadhali lipi litafaa zaidi katika mazingira ya Tanzania
Natanguliza shukrani
Betty atakuwa ni mkewe mkuu.Kwa maoni yangu chukua lenye kutumia mifumo miwili mafuta na umeme
Nje ya mada kidogo Betty ni mkeo au binti yako?