Naomba ushauri wenu juu ya haya magari ya kutumia Umeme yaliyoingia nchini, nimeyapenda kwa mazingira ya sasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba

La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betri ikiwa full unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15

Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol unatembea km 25

Hawapo barabarani hayana muungurumo zaidi ya kupiga honi tu

Bei yake moja

Ushauri tafadhali lipi litafaa zaidi katika mazingira ya Tanzania

Natanguliza shukrani
 
Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba

La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betty ikiwa full.unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15

Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol un atembea km 25

Nunua kifaru,Kwa mazingira yetu ni Bomba sana🏃😂
 
Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!

Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga
 
Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba

La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betty ikiwa full.unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15

Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol un atembea km 25

Hawapo barabarani hayana muungurumo zaidi ya kupiga honi tu

Bei yake moja

Ushauri tafadhali lipi litafaa zaidi katika mazingira ya Tanzania

Natanguliza shukrani
Bwashe Wacha miyeyusho. Jukwaa la siasa unapost vitu kama hivi?
 
Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae u upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!

Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (tatu hivi)
Ile ya Umeme na Petrol betry inajichaji automatically

La Umeme tupu ni lazima ulichaji ukiwa umepaki
 
Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!

Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga
Nafikiri hiyo ndo future. Betri zitakuwepo tu na vituo vya kuzijaza zinapoisha. Ukiingia kwenye kituo unampa empty betry anakupa full betry. Huko mbeleni nadhani binadamu wataachana na magari ya mafuta.
 
Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!

Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga
Kutoka Dar hadi kigoma inabidi uwe na mzigo wa betri 7 ndiyo uweze kufika
 
Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba

La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betty ikiwa full.unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15

Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol un atembea km 25

Hawapo barabarani hayana muungurumo zaidi ya kupiga honi tu

Bei yake moja

Ushauri tafadhali lipi litafaa zaidi katika mazingira ya Tanzania

Natanguliza shukrani
Wapi picha, au umemtumia manka mkeo, pale Rau madukani?
 
Back
Top Bottom