Hizo battery sio n200 πππππππ. Kwa utafiti wangu gari za umeme, battery ni pana inacover sehemu ya viti vinne vya gari na inakuwa upande chini wa gari.Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!
Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga
Afu unazieka wapi...
Battery ya kwh kadhaa labda 20,40,60 unajua uzito wake?
Ziko under floor ..battery yaweza fikia nusu tani Kama uzito
Mie nina ungo, hauhitaji chaji wala mafuta!Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba
La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betri ikiwa full unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15
Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol unatembea km 25
Hawapo barabarani hayana muungurumo zaidi ya kupiga honi tu
Bei yake moja
Ushauri tafadhali lipi litafaa zaidi katika mazingira ya Tanzania
Natanguliza shukrani
Future ipo kwenye EVs, makampuni makubwa ya magari pamoja na makampuni makubwa ya vifaa vya umeme (Sony, Apple) wanawekeza nguvu huko. Ni suala la muda tu, improvement kwenye ubora wa battery na charging utaboreshwa huko mbeleni. Naimani kuna watakao vuka 1000km per single charge.Cost za mafuta kwa kuendesha hizo 2OOkm ni juu kuliko gharama ya umeme. Huenda ukatumia umeme wa elfu kumi tu kuzimaliza hizo km zake ila
petrol ingekugharimu mafuta si chini ya elfu 5O,OOO
Hio ikifika kuwa industrial standard basi ICE cars ndio zitakuwa zimeumaliza mwendo. Wese litabakia kwenye kuendesha mitambo tu.Future ipo kwenye EVs, makampuni makubwa ya magari pamoja na makampuni makubwa ya vifaa vya umeme (Sony, Apple) wanawekeza nguvu huko. Ni suala la muda tu, improvement kwenye ubora wa battery na charging utaboreshwa huko mbeleni. Naimani kuna watakao vuka 1000km per single charge.
Ukinunua charging facility ukiifunga kwako huchaji gari kwani?Miundombinu yetu bado haisuppport magari ya umeme
Inategemea pia na aina ya gari. All in all kwa Tanzania ukinunua gari la umeme inatakiwa ''ujue unachokifanya'' siyo kujinunulia tu.Hio ya kuchajia nyumbani ndio ya kuchukua masaa 8-10. Ila dedicated charging plant ya fast charge ni ndani ya lisaa ishajaza
Kwangu natumia unit moja kwa siku nzima nikizid sana ni 1.4kwh hapa kama friji na jagi limetumika sana... Huo umeme ninaotumia kwenye gari hukifikish kilometa kumiMzigo unawasha umeme wa nyumba kabisa.
Vipi chaji ikiisha mbali na homeUkinunua charging facility ukiifunga kwako huchaji gari kwani?
Yes, nilikuwa napitia review ya ford f-150, EV version au Ford lightining wanasema umeme ukikatika wa manyumbani inakuwa back up ya umeme wa Nyumba vizuri.Kwangu natumia unit moja kwa siku nzima nikizid sana ni 1.4kwh hapa kama friji na jagi limetumika sana... Huo umeme ninaotumia kwenye gari hukifikish kilometa kumi
Imagine battery pack ya tesla yenye 100kwh huo ni umeme kwangu wa miezi miwili kabisa
hii sasa ni fursa kubwa sana kwa shirika letu pendwa la Tanesco,muda huu ndio wangetumia kutuma wataalamu wake kwenda nje kujifunza jinsi mfumo huo utakavyokuwa wa kuchaji magari ya Umemena wao kuanza kuweka stand za kuchajia,tena hii fursa wakiitumia vizuri ndio litakuwa shirika lenye pesa nyingi kuliko taasisi nyingineGari za umeme betri iko fixed. Kuitoa mpaka upeleke kwa fundi na ni shughuli hivyo ondoa wazo la kusema utatembea na betri za akiba kama tochi. Nchi zilizoendelea wanachofanya ni kuweka vituo vya kuchajia vingi njiani. Kwa mfano utoke Mwanza kuja Dar unakuta kuna vituo vingi njiani.
Ila tujiandae tu, magari ya umeme hayatakuwa nafuu kwenye upande wa tozo na kodi za kila mwezi au mwaka, kwa sababu yanaenda kupunguza mapato ya serikali kwenye mafuta. Hivyo mbadala wake ni kuongeza au kubuni kodi kwenye magari ya umeme ambayo itakuwa mbadala wa mapato yatakayopotea kutokana na kupungua kwa utumiaji na uaguizaji wa mafuta kwa ajili ya magari.hii sasa ni fursa kubwa sana kwa shirika letu pendwa la Tanesco,muda huu ndio wangetumia kutuma wataalamu wake kwenda nje kujifunza jinsi mfumo huo utakavyokuwa wa kuchaji magari ya Umemena wao kuanza kuweka stand za kuchajia,tena hii fursa wakiitumia vizuri ndio litakuwa shirika lenye pesa nyingi kuliko taasisi nyingine
Sasa masaa nane 8 ndio inakuwaje aisee?! Yaani nakaa kusubiria gari ijae masaa nane then hiyo safari itembee 200km mmmmmmhmn?! Hapo tayari wamefeli kufikia malengo ya ubora.Ile ya Umeme na Petrol betry inajichaji automatically
La Umeme tupu ni lazima ulichaji ukiwa umepaki
Me hapana ziwezi kuyaacha. Nishazoea purukushani za sheli.Nafikiri hiyo ndo future. Betri zitakuwepo tu na vituo vya kuzijaza zinapoisha. Ukiingia kwenye kituo unampa empty betry anakupa full betry. Huko mbeleni nadhani binadamu wataachana na magari ya mafuta.
HahahaMe hapana ziwezi kuyaacha. Nishazoea purukushani za sheli.
πIle ya Umeme na Petrol betry inajichaji automatically
La Umeme tupu ni lazima ulichaji ukiwa umepaki