Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Hizo battery sio n200 😀😀😀😀😀😀😀. Kwa utafiti wangu gari za umeme, battery ni pana inacover sehemu ya viti vinne vya gari na inakuwa upande chini wa gari.Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!
Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga