Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inafaa uwe na betri 2Yaani watembea km 200 tu betri imeisha, kisha uchaji betri kwa karibu saa 10! Duh, kwa hiyo hayo masaa 10 unakuwa umepaki wasubiria betri lijae au unakuwa upo kwenye mwendo betri lajichaji automatically?!
Pengine labda itabidi uwe na betri zaidi ya moja (angalau tatu hivi) ukizingatia na umeme wetu wa kuunga unga
Ulaya sasa hivi magari ya umeme yapo kila kona. Makampuni mengi ya magari sasa hivi wanatoa matoleo mapya mengi ya magari ya umeme. Kuna nchi zimeshajiwekea baada ya miaka 15 kutoka sasa magari yote yatakuwa ya umeme. Ila kwa Tanzania sihsauri mtu anunue gari ya umeme kwa sasa. Hasara ni kubwa kuliko faida.Nafikiri hiyo ndo future. Betri zitakuwepo tu na vituo vya kuzijaza zinapoisha. Ukiingia kwenye kituo unampa empty betry anakupa full betry. Huko mbeleni nadhani binadamu wataachana na magari ya mafuta.
Why!?!Tanzania sihsauri mtu anunue gari ya umeme kwa sasa. Hasara ni kubwa kuliko faida.
Ukinunua uwe na backup car. D4 engine na hybird zenyewe bado zinaogopeka.Ulaya sasa hivi magari ya umeme yapo kila kona. Makampuni mengi ya magari sasa hivi wanatoa matoleo mapya mengi ya magari ya umeme. Kuna nchi zimeshajiwekea baada ya miaka 15 kutoka sasa magari yote yatakuwa ya umeme. Ila kwa Tanzania sihsauri mtu anunue gari ya umeme kwa sasa. Hasara ni kubwa kuliko faida.
Magari mengi ya umeme betri zake ziko fixed na kuitoa ni shughuli. Haziwekwi kama betri za tochi!Inafaa uwe na betri 2
Charging system lazima itakuwa improved as days goes on..Magari mengi ya umeme betri zake ziko fixed na kuitoa ni shughuli. Haziwekwi kama betri za tochi!
Kwa sababu ya tatizo la umeme na points za kuchajia hakuna.Why!?!
Hio haifai bora wabuni mfumo wa betri 2 sawa na baadhi ya magari yenye tank 2 za diesel.Magari mengi ya umeme betri zake ziko fixed na kuitoa ni shughuli. Haziwekwi kama betri za tochi!
As days going on... lakini siyo sasa. Wewe ulielezea sasa hivi.Charging system lazima itakuwa improved as days goes on..
Chukua la umeme na mafuta maana ishu iko kwenye battery.. Battery ikifa sio chini ya million mbili kwa moja..!Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba
La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100%
Ni mtumba
Betty ikiwa full.unatembea km 200
Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15
Ya pili ni Toyota
Inatumia Umeme na Petrol
Lita moja ya Petrol un atembea km 25
Hawapo barabarani hayana muungurumo zaidi ya kupiga honi tu
Bei yake moja
Ushauri tafadhali lipi litafaa zaidi katika mazingira ya Tanzania
Natanguliza shukrani
Sasa hivi ukipenda kuwa nalo inabidi uwe na mbadala.As days going on... lakini siyo sasa. Wewe ulielezea sasa hivi.
Za kujichaji zipo nyingi tu. Ndiyo wanazoita hybrid. Zilianza kabla ya za umemeHio haifai bora wabuni mfumo wa betri 2 sawa na baadhi ya magari yenye tank 2 za diesel.
Pili...why hizo gari hazima mfumo wa otoneta ziwe zinajichaji ukiwa una drive?
Ni kweli. Hata siku zijazo nadhani betri zitakuwa more powerfuly na zitatumika kwa muda mrefu zaidi bila kuchaji na pia kuchajiwa kwa muda mfupi.Sasa hivi ukipenda kuwa nalo inabidi uwe na mbadala.
Kabisa mkuu.Ni kweli. Hata siku zijazo nadhani betri zitakuwa more powerfuly na zitatumika kwa muda mrefu zaidi bila kuchaji na pia kuchajiwa kwa muda mfupi.
Nakazia!!!Weka bei na picha .
Vinginevyo utakuja kulizwa.
Sabasaba ni chaka la kuwapiga watu kama nyie
Hakuna kubeba zawadi za kutosha kutoka Dar maana boot inakuwa imejaa mzigo wa betriKutoka Dar hadi kigoma inabidi uwe na mzigo wa betri 7 ndiyo uweze kufika
Kuna kuku Mimi ninao mbegu zake au jamii yake, nauza 20-30 kwa mmoja eti sabasaba wanapigwa watu laki 4Nakazia!!!