Naomba ushauri wenu kuhusu biashara ya ufugaji wa kuku wa mayai

Naiomba hiyo pdf kwenye inbox yangu mkuu
 
Natamani sana nifanye ufugaji wa kuku wa mayai. Nimefanya tafiti lakini kulingana na na eneo nilipo baadhi taarifa kama bei za chanjo nimekosa. Msaada mwenye kujua bei ya chanjo zake, kama ana file la bei anaweza kushare hapa please.
 
✌️✌️Bingo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…