Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kama banda ni la ndani sawa maana siku hizi vifaa vyote unapata Dar au Nairobi bila kuhangaika kuagiza nje
Kwanza nakushauri uende mwenyewe mguu kwa mguu mpaka kwa wafugaji wa aina zote ukajifunze na hata kuangalia tu
Unahitaji mganga na vijana wa kazi ambao watakuwa hapo kila wakati
Ni kazi ngumu lakini ina faida kama utawaangalia vizuri
Umuhimu ni usafi tu wa hali ya juu tena unakuwa mkali haswa
Weka cages zako na kila miezi kadhaa unawauza kufidia gharama usiwe na tamaa ya kuwafikisha 1000 mpaka uwe na mtaji wa kutosha