Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

C/CARE hutumia lugha ya mvuto na staha katika kuwahudumia wateja, huenda lugha yake ya kazi ndo imemdumaza kiasi cha kushindwa kuvaa uhusika mwingine akiwa nje ya ofisi, au sivyo basi anafanya kusudi kwa lengo la kupata wafuasi wengi kwa sababu anazozijua mwenyewe
 
Nilimtaka afanye kazi nyingine aachane na hiyo ya bank akagoma! Ndio ikawa mwanzo wa kutengana kwetu nae
 
Kiasili mwanamke ni kiumbe aliyezaliwa na tamaa nimewahi fanya kazi bank for almost 10 years kabla sijaacha na kujikita kwenye shughuli zangu wadada wengi waliopo bank tamaa zinawaponza plus kucount pesa nyingi za wateja ukilinganisha na mishahara kiduchu waliyonayo akija tajiri yyt akawapa vitip mara vilaki mara laki mbili ni rahisi kudate nao
 
Umemaliza Kila Kitu...! Siongezi NENO LOLOTE MIMI...!
 
Kuna bidada maji yakunde, mrefu huwa anakaa kwenye dirisha la kubadilishia fedha za kigeni pale Bank house.

Huyu dada...
 
Kwema ndugu zangu?

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.

Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?

Wanaolewa kweli hawa wadada?
Hapo umewatamani ila hawana mpango na wewe!! Bank ni kazi km kazi nyingine bana!! tatizo wewe ni kajamba nani sasa unawaogopa!!! unaona wao ni matawi!! ......watu tuna chukua wa Bank kuu/ Central Bank of Nigeria sembuse vi Bank vya chcohco ivo??/!

watu wa mbeya mna tatizo sana la domo zege fumba pu koza
 
Nilimtaka afanye kazi nyingine aachane na hiyo ya bank akagoma! Ndio ikawa mwanzo wa kutengana kwetu nae
Uliwahi kumueleza wazi kwamba mazingira yake ya kazi yanakuweka kwenye mabano? Je, mgomo wake ulitokana na sababu yoyote ya msingi?
 
Kuna bidada maji yakunde, mrefu huwa anakaa kwenye dirisha la kubadilishia fedha za kigeni pale Bank house.

Huyu dada...
STANDARD CHARTERED au BARCLAYS? [emoji23]
 
Kwema ndugu zangu?

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.

Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?

Wanaolewa kweli hawa wadada?
Kuolewa wanaolewa ila ndoa zao nyingi hazidumu.
 
Uliwahi kumueleza wazi kwamba mazingira yake ya kazi yanakuweka kwenye mabano? Je, mgomo wake ulitokana na sababu yoyote ya msingi?
Sio mara moja, nimemweleza angeweza kufanya kazi bila kuathiri mambo yake mengine. Anaelewa kwa wiki mbili au tatu then baada ya hapo mambo yana RESUME to NORMAL. [emoji3]
 
Sio mara moja, nimemweleza angeweza kufanya kazi bila kuathiri mambo yake mengine. Anaelewa kwa wiki mbili au tatu then baada ya hapo mambo yana RESUME to NORMAL. [emoji3]
[emoji3]
 
Mishahara yao ni midogo tu. Pia wanafaidika na Mikopo ambayo Benk huwa zinawakopesha watumishi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…