saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Kumekuwepo na sintofahamu kubwa kuhusiana na Kauli ya Waziri wa Kilimo kuilazimisha Central Bank kutoa upendeleo kwa Benki mpya ya Bashe inayoitwa Benki ya Ushirika ili kuweka masharti nafuu ya utoaji wa mikopo.
Pia, nimeona Bashe ameingia kwenye mzozo kuhusiana na ruzuku ya Mbolea na kuleta sintofahamu kubwa huku wengine wakieleza bashe hana uzoefu wa kufanya kazi serikalini kwa hiyo mambo mengi hayajui jambo mwenyewe anaamini anajua kwa kiingereza chake cha Nzega.
Hebu tujadili CV yake ili tusije kumhukumu kwa makosa ambayo sio yake