Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Wapumbavu wanaishi Dar es Salaam na mijini wanataka wanunue unga kilo Tsh 1,000 milele. Hawajui mkulima anavyohangaika kufyeka pori, kulima na kupalilia. Hawajui bei ya pembejeo eti leo wanalalamika mahindi na Michele vinakwenda nje ya mipaka ya Tanzania.Mwanzo nilimuona mtu bora sana pale alipo anzisha au kufungua maghala ya chakula Congo,Sudan kusini na burundi lakini hivi sasa nimeanza kumuona ni kiongozi asie kuwa na utashi wa hali ya juu hasa pale anaposhindwa kuwasaidia wananchi kuhusu kupanda kwa bei ya chakula,kwani chakula kingi kinavuka mpaka na huku nchi ikibaki na chakula kiduchu sana.......hii ni hali mbaya sana kwa taifa
Huu ndiyo wakati wa mkulima wa Tanzania kupata bei nzuri, hakuna kufunga mipaka. Chakula kikiisha na sisi Tanzania tutanunua nje ya Tanzania. Vile vile kama tutauza nje basi soko litakua hivyo basi watu wengi watajishirikisha na kilimo