Miaka mitatu ili wakulima waendelee kununua mbolea kwa 180000??Bashe ni Mkulima mkubwa pia Bashe ni mfugaji mkubwa! Anapoongea Kilimo anaongea from experience! Amepewa wizara ameomba miaka 3 ndo utaona anapeleka wapi Kilimo. Kama unataka cv nenda wanazo wamezikalia sua wakisubiri ajira serikalini badala ya kwenda kulima au kufuga!
I really dont get it....Kumekuwepo na sintofahamu kubwa kuhusiana na Kauli ya Waziri wa Kilimo kuilazimisha Central Bank kutoa upendeleo kwa Benki mpya ya Bashe inayoitwa Benki ya Ushirika ili kuweka masharti nafuu ya utoaji wa mikopo.
Pia, nimeona Bashe ameingia kwenye mzozo kuhusiana na ruzuku ya Mbolea na kuleta sintofahamu kubwa huku wengine wakieleza bashe hana uzoefu wa kufanya kazi serikalini kwa hiyo mambo mengi hayajui jambo mwenyewe anaamini anajua kwa kiingereza chake cha Nzega.
Hebu tujadili CV yake ili tusije kumhukumu kwa makosa ambayo sio yake
Suala la kuuza chakula nje halihitaji ushabiki. Hivi unajisikia je mkilima ateseke kwa miezi sita shambani, Kisha aje kuuza debe la mahindi kwa shs 5000/=?. Kama mna moyo wa uzalendo Sana wapeni wakulima bei nzuri chakula kibaki Vinginevyo naunga mkono chakula kwenda nje. "Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake".Kuruhusu chakula kuvuka mipaka ni kukosa utu kwa watu wa nyumbani kwako.
Sahivi kg 1 ya unga wa sembe ni 1800 na hii ni July je? December itakuwa ngapi
Wewe ndio zero brain kabisa,kuna Mkulima yupi sahv ana mazao sahv? WafanyabiShara wameshakomba mazao yote ya wakulima mnaowatetea sahivi sio wakulima ni watu wenuSuala la kuuza chakula nje halihitaji ushabiki. Hivi unajisikia je mkilima ateseke kwa miezi sita shambani, Kisha aje kuuza debe la mahindi kwa shs 5000/=?. Kama mna moyo wa uzalendo Sana wapeni wakulima bei nzuri chakula kibaki Vinginevyo naunga mkono chakula kwenda nje. "Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake".
Wakulima wa Nchi hii ndio wenye maisha duni kwa ukandamizaji wa Maslahi Yao.
Lake Oil? Ngoja niunganishe dot na msoga jibu litapatikana tu...Ana CV gani,mbabaishaji tu,si alikuwa kwenye sekta ya Habari kupitia Habari Corporation.Kwa kifupi Wizara ya Kilimo haina Waziri wala Naibu Waziri mwenye exposure ya Kilimo.Huyu amewekwa na walimuweka kwa maslahi yao,the same kwa Benki ya Kilima TADB,Frank Nyabundege alikuwa kwenye sekta ya Nishati(Lake Oil) leo ni DG wa Benki ya Kilimo.Sasa wanajua nini kuhusu Kilimo.Nchi ngumu hii!!
🤣🤣🤣Lake Oil? Ngoja niunganishe dot na msoga jibu litapatikana tu...
[emoji122][emoji122][emoji122]Bashe ni Mkulima mkubwa pia Bashe ni mfugaji mkubwa! Anapoongea Kilimo anaongea from experience! Amepewa wizara ameomba miaka 3 ndo utaona anapeleka wapi Kilimo. Kama unataka cv nenda wanazo wamezikalia sua wakisubiri ajira serikalini badala ya kwenda kulima au kufuga!
Mlizoea kutukandamiza sisi wakulima kwa kutubania masoko huria,sasa mambo yapo poa sana kwetu.Kama unaona sisi wakulima tunafaidi sana,nawe kuwa mkulima.Mwanzo nilimuona mtu bora sana pale alipo anzisha au kufungua maghala ya chakula Congo,Sudan kusini na burundi lakini hivi sasa nimeanza kumuona ni kiongozi asie kuwa na utashi wa hali ya juu hasa pale anaposhindwa kuwasaidia wananchi kuhusu kupanda kwa bei ya chakula,kwani chakula kingi kinavuka mpaka na huku nchi ikibaki na chakula kiduchu sana.......hii ni hali mbaya sana kwa taifa
Aliyelima hayo mahindi kwa nguvu zake unataka asiuze kwa bei yenye manufaa kwake kisa wewe mvivu wa akili!?.Kuruhusu chakula kuvuka mipaka ni kukosa utu kwa watu wa nyumbani kwako.
Sahivi kg 1 ya unga wa sembe ni 1800 na hii ni July je? December itakuwa ngapi
Asante mkuu.[emoji122][emoji122][emoji122]Suala la kuuza chakula nje halihitaji ushabiki. Hivi unajisikia je mkilima ateseke kwa miezi sita shambani, Kisha aje kuuza debe la mahindi kwa shs 5000/=?. Kama mna moyo wa uzalendo Sana wapeni wakulima bei nzuri chakula kibaki Vinginevyo naunga mkono chakula kwenda nje. "Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake".
Wakulima wa Nchi hii ndio wenye maisha duni kwa ukandamizaji wa Maslahi Yao.
Umewahi shika jembe? Na natamani kilo ya unga ifike 3000, mbona bia zinapanda bei hamjawahi lalamika?Kuruhusu chakula kuvuka mipaka ni kukosa utu kwa watu wa nyumbani kwako.
Sahivi kg 1 ya unga wa sembe ni 1800 na hii ni July je? December itakuwa ngapi
Kweli kabisa, angalia pembejeo zilivyo juu, alafu uuze debe 5000, waje shambani uku waone watu tunavyotesekaSuala la kuuza chakula nje halihitaji ushabiki. Hivi unajisikia je mkilima ateseke kwa miezi sita shambani, Kisha aje kuuza debe la mahindi kwa shs 5000/=?. Kama mna moyo wa uzalendo Sana wapeni wakulima bei nzuri chakula kibaki Vinginevyo naunga mkono chakula kwenda nje. "Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake".
Wakulima wa Nchi hii ndio wenye maisha duni kwa ukandamizaji wa Maslahi Yao.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hussein Bashe bila hata kuiona CV yake ndiye Waziri bora kabisa wa kilimo kwa miaka 15 iliyopiga na ndiye Waziri bora pia kwenye Baraza la mawaziri la Rais SSH. Bashe kwanza ana uwezo Mkubwa wa kuelewa na kuamua, yuko practical na Anaya address matatizo ya kilimo kiukweli. Wala msilete CV yake hapa anatosha tu hivyo alivyoAna CV gani,mbabaishaji tu,si alikuwa kwenye sekta ya Habari kupitia Habari Corporation.Kwa kifupi Wizara ya Kilimo haina Waziri wala Naibu Waziri mwenye exposure ya Kilimo.Huyu amewekwa na walimuweka kwa maslahi yao,the same kwa Benki ya Kilima TADB,Frank Nyabundege alikuwa kwenye sekta ya Nishati(Lake Oil) leo ni DG wa Benki ya Kilimo.Sasa wanajua nini kuhusu Kilimo.Nchi ngumu hii!!