Naombeni code nikipigiwa Simu nisipatikane

Habari za wakati huu,

Thread zangu napenda kuziweka huku sababu pako active kuliko majukwaa mengine.

Naombeni msaada wa code, nahitaji mtu fulani akinipigia nisipatikane, simdai hanidai ila sihitaji tu kuwasliana nae.

Mwenye anajua namna ya kufanya naomba unielekeze. Natanguliza shukrani.
lipa kwanza madeni ya watu mkuu.
 
Habari za wakati huu,

Thread zangu napenda kuziweka huku sababu pako active kuliko majukwaa mengine.

Naombeni msaada wa code, nahitaji mtu fulani akinipigia nisipatikane, simdai hanidai ila sihitaji tu kuwasliana nae.

Mwenye anajua namna ya kufanya naomba unielekeze. Natanguliza shukrani.
Acha uhuni. Unamficha nani na ili iweje?
 
Sidaiwi mkuu... Ni maswala ya mahusiano mzee
simu yako haina uwezo kublock mtu? binafsi mama mtoto wangu wa kambo alinisumbuaga sana nikawa nablock namba zake, akitumia hata ya rafiki yake nablock, zilipofika namba kama 10 hivo, akaacha kabisa kupiga.
 
Back
Top Bottom