Naombeni code za hii ndoto

Aminaaa japo mi mvivu Ila nkitaka kulala ntafanya ata ishara ya msalaba
 
Exactly but sdhani ka ndoto imelenga mauti kweli japo hakuna kinachoshindkana..
Sasa kumbe we mwenyewe mtabiri tayari?
Anyways niliwahi ambiwa na mzee mmoja wa makamu ukiota harusi Ni ishara ya msiba,Sasa sijui vice versa yake itakuwa ni harusi?Kama ni hivyo basi kaota ndoa yenu
 
Ilhali umezaliwa,mauti ni lazima.....kukataa kitu ambacho lazima utakutana nacho ni kuchosha akili
Ni kweli lakini Si vifo vyote vimepangwa na mungu ndio maana unaoneshwa kupitia ndoto ili uombe
 
Sasa kumbe we mwenyewe mtabiri tayari?
Anyways niliwahi ambiwa na mzee mmoja wa makamu ukiota harusi Ni ishara ya msiba,Sasa sijui vice versa yake itakuwa ni harusi?Kama ni hivyo basi kaota ndoa yenu
Kufa na ndoa mbn avishabiiani au swala la kubeba maua
 
E
Kufa na ndoa mbn avishabiiani au swala la kubeba maua
🤣🤣🤣🤣eeh basi jitabirie mwenyewe,maana sisi tunakupigia ramli unabisha,basi tuambie wewe unahisi Nini kwenye hii ndoto?
 
Na ukifanya masihara utakufa kweli hakika na kuambia...shetani yupo karibu sana na huo ugomvi wenu
 
Ndoto za kifo most of times ni kinyume chake ....ina maana utaishi miaka mingi
 
Kama lugha inapanda Vizuri...
Kuna Mtandao wanatafasiri ndoto...

Lakini ndoto unayoota wewe ndo ya kuzingatia.... siyo ya kuotewq... inaweza Kuwa anakudanganya Tu

Ni wabobezi na wajuzi wa Unajimu... wametemgeneza kama Artificial intelligence System.

Ingia hapa jaribu kuangalia...

dreaminterpreter.ai
 
Shukran san
 
Bibie ameonyeshwa kwamba yeye hatokua na wewe tena kimahusiano hivyo naweza kusema penzi Lenu litakufa ila bibie ndiye atakayekua anakukumbuka sana( atakua anamis uwepo wako)
 
Kwanini uzae na mwanamke halafu hujamuoa? Ninyi ndio mna produce single mothers. Bora hata alivyoota.
 

Wenye majina ya Mary wanakuwaga watata watata sana na asilimia kubwa hawawezagi kuishi na Mwanaume.😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…