Naombeni Elimu Kuhusu NBA All-Stars

Uhakika mkuu,,Nashukuru kwa ufafanuzi bomba..ntakutafuta dingii,,me nipo Kijengejuu uku
 
Kweli maana hata Role model wangu Ja12 (Morant) kachezea East wakati Memphis Grizzlies ipo west
 
Mazee Labda humjui Gianis...hiyo picha nimetazama sijakuona...labda niambie hii ni all Star ya lini?..Kama ya mwaka huu nilitazama game alichezea east
Umewaona hao Team Lebron(West)??..Haya Hao waliosimama niambie huyo wa 4 ni nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…