Naombeni Elimu Kuhusu NBA All-Stars

Naombeni Elimu Kuhusu NBA All-Stars

kwanza kuchezea East au West haihusishi kuzaliwa upande gani wa Marekani (na wala haijawahi kuwa hivyo)..
East na West All Star Teams zinawakilisha wachezaji nyota wa msimu husika mpaka kipindi hicho toka katika kanda hizo(Mashariki na Magharibi au wenyewe wanaziita Conferences).Kuna utaratibu wa kupata hao wachezaji,ikiwepo kupigiwa kura na mashabiki,Makocha ...
Katika kuboresha huu mfumo ndio wakaja na wachezaji nyota watakaopatikana kwa kanda zote mbili ,watakaoongoza kura katika kila upande watakuwa makapteni na kisha kila mmoja kuchagua timu yake(kwa mfumo wa draft)bila kuzingatia Ukanda..
Natumai nimekupa picha kidogo..
Kama kweli unapenda Nba na unahitaji mtu wa kulonga nae,nicheki,napatikana A-town.
Uhakika mkuu,,Nashukuru kwa ufafanuzi bomba..ntakutafuta dingii,,me nipo Kijengejuu uku
 
kwanza kuchezea East au West haihusishi kuzaliwa upande gani wa Marekani (na wala haijawahi kuwa hivyo)..
East na West All Star Teams zinawakilisha wachezaji nyota wa msimu husika mpaka kipindi hicho toka katika kanda hizo(Mashariki na Magharibi au wenyewe wanaziita Conferences).Kuna utaratibu wa kupata hao wachezaji,ikiwepo kupigiwa kura na mashabiki,Makocha ...
Katika kuboresha huu mfumo ndio wakaja na wachezaji nyota watakaopatikana kwa kanda zote mbili ,watakaoongoza kura katika kila upande watakuwa makapteni na kisha kila mmoja kuchagua timu yake(kwa mfumo wa draft)bila kuzingatia Ukanda..
Natumai nimekupa picha kidogo..
Kama kweli unapenda Nba na unahitaji mtu wa kulonga nae,nicheki,napatikana A-town.
Kweli maana hata Role model wangu Ja12 (Morant) kachezea East wakati Memphis Grizzlies ipo west
 
Mazee Labda humjui Gianis...hiyo picha nimetazama sijakuona...labda niambie hii ni all Star ya lini?..Kama ya mwaka huu nilitazama game alichezea east
Umewaona hao Team Lebron(West)??..Haya Hao waliosimama niambie huyo wa 4 ni nani??
 
Back
Top Bottom