Naombeni kazi kwa mwenye connection yoyote ya kazi nipo arusha

Msela Lowkey

Senior Member
Joined
Jul 3, 2021
Posts
144
Reaction score
199
Habarini wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu nina diploma ya IT na degree ya multimedia ninauzoefu wakufany graphics designing, photographer and videographer pia nina ujuz kweny maintananc,networking
naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa
Ahsanteni
 
Usiogope utafanikiwa
 
Kazi unaweza ukapata ila fanyia kazi uandishi wako. Huu uandishi ni wa mtu aliyeishia darasa la sita. Na kama ni graphics designer ungeweza kuweka na kazi zako kadhaa ulizowahi kufanya.w
 
Aise sawa.
Ngoja wadau wakuje.
Ila ungeomba Sio kazi tu,
bali hata idea za vijibiashara vidogo vidogo vya kutoka basi ingekua vyema zaidi.
 
Ni kwel mkuu japo nimejiajir kam freelancer napiga izi kazi zangu za graphics nikiwa ndani
 
Kazi unaweza ukapata ila fanyia kazi uandishi wako. Huu uandishi ni wa mtu aliyeishia darasa la sita. Na kama ni graphics designer ungeweza kuweka na kazi zako kadhaa ulizowahi kufanya.w
Sawa mkuu ntashare portfolio
 
Back
Top Bottom