Msela Lowkey
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 144
- 199
Sawa mkuuWeka degree pembeni then yaangalie maisha kwenye angle nyingine.
Usiogope utafanikiwaHabarini wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu nina diploma ya IT na degree ya multimedia ninauzoefu wakufany graphics designing, photographer and videographer pia nina ujuz kweny maintananc,networking
naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa
Ahsanteni
Kazi unaweza ukapata ila fanyia kazi uandishi wako. Huu uandishi ni wa mtu aliyeishia darasa la sita. Na kama ni graphics designer ungeweza kuweka na kazi zako kadhaa ulizowahi kufanya.wHabarini wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu nina diploma ya IT na degree ya multimedia ninauzoefu wakufany graphics designing, photographer and videographer pia nina ujuz kweny maintananc,networking
naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa
Ahsanteni
Ni kwel mkuu japo nimejiajir kam freelancer napiga izi kazi zangu za graphics nikiwa ndaniAise sawa.
Ngoja wadau wakuje.
Ila ungeomba Sio kazi tu,
bali hata idea za vijibiashara vidogo vidogo vya kutoka basi ingekua vyema zaidi.
Ahsante mkuuPole sana mkuu
Sawa mkuu ntashare portfolioKazi unaweza ukapata ila fanyia kazi uandishi wako. Huu uandishi ni wa mtu aliyeishia darasa la sita. Na kama ni graphics designer ungeweza kuweka na kazi zako kadhaa ulizowahi kufanya.w
Sawa mkuu ahsant
All the Best