Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Watu wabaya sana🤣🤣Kumbe ephen_ tayari watu washamsababishia kula udongo bila kupenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wabaya sana🤣🤣Kumbe ephen_ tayari watu washamsababishia kula udongo bila kupenda
Akifuata huu ushauri ataliwa fasta🤣Unachotakiwa kujua ni kuwa wewe ni member mpya lakini unatakiwa kujua ilipo PM na mara moja tuma namba yako nikukamilishie usajili 😎😎😎
Haliwi anawekwa akiba!!Akifuata huu ushauri ataliwa fasta🤣
Oya kwani mnanifanyia usaili.Unaenda kwa ya Zamani
Kwa matumizi ya baadae au sioHaliwi anawekwa akiba!!
Umelipenda eeeHahhh jaman majina ya um
Ndio tunajaza fomu kwa hio ukiulizwa jibuOya kwani mnanifanyia usaili.
Acha wadau wenye njaa ya Fisi wakakutane na Kia la Nyati huko PM Mimi simoAcha kufanya watu wajinga! Ww ni mwanaume mara utumie "jomoni" mara "jamani" inaonekana unafake mambo kabisa👎👎 unamfahamu xavierjerry ?? Huyu amejiunga jana na tayari amekufollow?😂😂 au umeamua kufollow ID yako nyingine?
Umesoma Cuba kama sio urusiAcha kufanya watu wajinga! Ww ni mwanaume mara utumie "jomoni" mara "jamani" inaonekana unafake mambo kabisa👎👎 unamfahamu xavierjerry ?? Huyu amejiunga jana na tayari amekufollow?😂😂 au umeamua kufollow ID yako nyingine?
Niliamka kukojoa kesho nakurudia ole wako usumbue mods kiboga wa kigambonino😁🤣🤣🤣😁😁 Kuna mmoja anatembeza dislike hapa 😂 skuizi Hawa ni kuwa nao makini Sana
Unatembeza dislike km huna akili nzuri ni mwendo wa Mimba tu ushachezea kong'oteo subiria Mbegu zioteNiliamka kukojoa kesho nakurudia ole wako usumbue mods kiboga wa kigambonino
Acha hayo ma-dislike nimeyachoka unanichafuliq ubao wangu muoneNimeamka kukojoa, wee nawe km mchawi hulali? 😹😹😹
Labella yo're so beautifulNaye katamani nimpe dislike wifi yangu mdogo 😹😹😹
Naye katamani nimpe dislike wifi yangu mdogo 😹😹😹Unatembeza dislike km huna akili nzuri ni mwendo wa Mimba tu ushachezea kong'oteo subiria Mbegu ziote
Wewe ntakupa dislike mpk uache ngebe 😹😹😹Acha hayo ma-dislike nimeyachoka unanichafuliq ubao wangu muone