Naombeni makadirio ya ramani hii wakuu

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Habari ya muda huu,

Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.

Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
 

Attachments

  • Easy.png
    3.1 KB · Views: 20
1. Piga hesabu ya tofali.
2. Tafuta fundi nyingine

fact :

1. Hatujui landscape ikoje.
2. Udongo ukoje.
3. Upo mkoa gani.
4. Unataka paua na nini
 
1. Piga hesabu ya tofali.
2. Tafuta fundi nyingine

fact :

1. Hatujui landscape ikoje.
2. Udongo ukoje.
3. Upo mkoa gani.
4. Unataka paua na nini
tofali tu mkuu. haya ya landscape sijajua una maana gani ila eneo tambarare. nategemea ukuta mmoja wa rum nasimamisha tofali kumi na sita (NNE za kufukia) kuanzia juu hadi chini
 
Habari ya muda huu,

Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki.

Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
Mkuu kuna ka mjengo ka sampuli hiyo nimewai fanyia mahesabu ni around tofali 1000 tu, trust me hakatazidi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…